Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
Ha hahaMpaka sasa yupo tu haijulikani kazi ambayo anafanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha hahaMpaka sasa yupo tu haijulikani kazi ambayo anafanya.
What a statement.... Khaaaaaaaa!!!!!Urembo bila akili zinazoumia ni sehemu za siri.
Angela Damas ni muajiriwa wa Chuo Kikuu Huria Tanzania... Pia ni mke halali wa Mb. Hussein Bashe... Taarifa zako kuwa nafanya kazi UNDP ni za uongo/...
nahis kamix mambo
.mbiki ndo aliolewa na bashe.. mwe!.mie bashe alikuaga jirani yangu..na bado hawajabarikiwa kupata familia..
labda km waliachana
Ila wote hao kitu wema tu ndo yupo hot hadi leo hii labda wa kumfutia anaweza kuwa jokate
duh... hatari hii
Eeh. Sema Mbiki mzuri bado
Hoyce Temu hajaolewa mkuu.
ukiangalia list ya nyuma kabla ya wema wengi unaona waliajiriwa UNDP sijui wapi sehemu za maana maana. Sema waliofuatia sasa baada ya Wema unabaki kushika kichwa.
Na wewe unataka uingie kwenye mashindano??Hivi umiss wanaangalia nini hasa?
Maana hapo kuna wengine ni wa kawaida sana.
i knw her wakat anasoma iringa nilikua napanda naye bus 1 enzi hizo scandnavia bas mie kashambaaaa namwangaliaaa hakuaga na dharau...
yeah hoyce alizaa tu na yule mbaba
Nimeanza mjua huyu dada niko Primary na nilikua nampenda hasa ule weusi wake. Mara ya mwisho nilikutana nae kwenye harusi nikaona kama anatumia kitu hana weusi kama ule wa zamani
Yeye wema ameajiriwa kisutu maana haishiwi matukioHoyce Temu hajaolewa mkuu.
ukiangalia list ya nyuma kabla ya wema wengi unaona waliajiriwa UNDP sijui wapi sehemu za maana maana. Sema waliofuatia sasa baada ya Wema unabaki kushika kichwa.
[emoji4][emoji4]natural iachie misitu..lol amekosea sana ..alikua na tujicho tutraaam
Yeye wema ameajiriwa kisutu maana haishiwi matukio
Bi Dada apambane na hali yakeWema kashindwa kutumia uzuri wake na nafasi yake. Sasa hivi atakua anatamani muda urudi nyumb ila ndo vileee