mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Haya ni makasiriko tuu... Wakati yanga inacheza tusisahau na wapinzani nao wanacheza, wakati yanga inapanga mbinu za kuwafungua wapinzani ,tusisahau kuwa nao wapinzani wanatafta namna ya kuwafungua Yanga.Edmund john - anacheza kama kondoo
Offen Chikola - sio level ya yanga
Aziz adambwile - vivu,zembe , chawi
Prince Dube- huyu apigwe kabla yakufukuzwa
Mo doumbia _ mchezaji mvivu na mjinga
Kocha mabedi - Hana uwezo wakuifundisha yanga
Mwamnyeto - mchawi
Jina lako linasadifu ulivyo!Edmund john - anacheza kama kondoo
Offen Chikola - sio level ya yanga
Aziz adambwile - vivu,zembe , chawi
Prince Dube- huyu apigwe kabla yakufukuzwa
Mo doumbia _ mchezaji mvivu na mjinga
Kocha mabedi - Hana uwezo wakuifundisha yanga
Mwamnyeto - mchawi
Acha siasa ongea mpira kama ulivyoona kiwanjaniHaya ni makasiriko tuu... Wakati yanga inacheza tusisahau na wapinzani nao wanacheza, wakati yanga inapanga mbinu za kuwafungua wapinzani ,tusisahau kuwa nao wapinzani wanatafta namna ya kuwafungua Yanga.
Maneno yako ni ya yule mwehu ambaye hajawahi kucheza mpira.
Ni kweli, wote uliowataja wazinguajiEdmund john - anacheza kama kondoo
Offen Chikola - sio level ya yanga
Aziz adambwile - vivu,zembe , chawi
Prince Dube- huyu apigwe kabla yakufukuzwa
Mo doumbia _ mchezaji mvivu na mjinga
Kocha mabedi - Hana uwezo wakuifundisha yanga
Mwamnyeto - mchawi
Timu hii haina mwalimu ila kipindi kile mpaka babu kaju na Kibwana walikuwa wanacheza vizuri. Kujitia ufundi kuondo ondoa makocha ndio kumetuponza.Tatizo viongozi wa timu hizi wanapenda kucheza na magazeti na mitandao ya jamii,kila msimu mnataka kusajili wachezaji wapya, mara mnabadilisha kocha bila kuangalia. Yanga msimu huu ilitakiwa ijaze nafasi mbili ya Ikangalombo na Ki,kocha wangemwacha yule yule, then wangepandisha madogo timu ya vijana.Sema ndio hivyo tunataka kuonekana kila msimu sura mpya.Edmund john - anacheza kama kondoo
Offen Chikola - sio level ya yanga
Aziz adambwile - vivu,zembe , chawi
Prince Dube- huyu apigwe kabla yakufukuzwa
Mo doumbia _ mchezaji mvivu na mjinga
Kocha mabedi - Hana uwezo wakuifundisha yanga
Mwamnyeto - mchawi
Eng hersi, sifa zimemzidiTimu hii haina mwalimu ila kipindi kile mpaka babu kaju na Kibwana walikuwa wanacheza vizuri. Kujitia ufundi kuondo ondoa makocha ndio kumetuponza.Tatizo viongozi wa timu hizi wanapenda kucheza na magazeti na mitandao ya jamii,kila msimu mnataka kusajili wachezaji wapya, mara mnabadilisha kocha bila kuangalia. Yanga msimu huu ilitakiwa ijaze nafasi mbili ya Ikangalombo na Ki,kocha wangemwacha yule yule, then wangepandisha madogo timu ya vijana.Sema ndio hivyo tunataka kuonekana kila msimu sura mpya.
Wewe jamaa nahisi dishi limeyumba kabisaEdmund john - anacheza kama kondoo
Offen Chikola - sio level ya yanga
Aziz adambwile - vivu,zembe , chawi
Prince Dube- huyu apigwe kabla yakufukuzwa
Mo doumbia _ mchezaji mvivu na mjinga
Kocha mabedi - Hana uwezo wakuifundisha yanga
Mwamnyeto - mchawi
Ila si mmefuzu?Edmund john - anacheza kama kondoo
Offen Chikola - sio level ya yanga
Aziz adambwile - vivu,zembe , chawi
Prince Dube- huyu apigwe kabla yakufukuzwa
Mo doumbia _ mchezaji mvivu na mjinga
Kocha mabedi - Hana uwezo wakuifundisha yanga
Mwamnyeto - mchawi
HAfai kua namba kumi , anacheza chini sana, haisaidii timu kwenda mbele.. overrated, eneo lake anapaswa cheza kouma/ pacome ..then winga moja max, nyingine ECUAEti Doumbia afukuzwe!
We jamaa hauko serious kabisa.