Wafuatao wajiandae kuzongwa na dola ili wajiunge CCM

Huo ushamba alifanya aliyekwenda, kwa sasa kila chama kitafanya siasa zake
 
Naona mmeanza kujiuza,
 
CCM ni jungu kuu.....

Awamu ya 6 ina AJENDA lukuki....

CCM hii haina haja ya kuokoteza huko usemako.....

Siempre JMT
MaCCM wote akili zenu hazina akili . Unanikumbusha bi, dada Cocochanel , au ni wewe ,ndio kila awamu na ID yake.?!
Banaga akikusikia unamwita ”WAKUOKOTWA /WAKUOKOTEZWA” atatoka JEHANAMU aingie motoni , maana PEPONi atakusikia tu kama MaCCM wengine wote.
 
Shida inakuja mkuu pale anapokosekana wa kujitoa muhanga! Unafikri nani yuko tayari kufa kwa ajili ya wengine? Hao milioni wote wangekuwa na roho ngumu wanasema liwalo na liwe inawezekana! Lakini sasa mmmmmhhh!
 
Kwamba Ccm hawana tena uwezo wa fikra. Wao taliyo baki ni kurubuni wapinzani na kuwa vyeo.
Bado wafia chama wana baki mitandaoni kulia lia tuu.. Vichwa viko upinzani.
Msigwa alisema, akili Ndogo kuongoza akili kubwa.
 
CCM ni jungu kuu.....

Awamu ya 6 ina AJENDA lukuki....

CCM hii haina haja ya kuokoteza huko usemako.....

Siempre JMT
Naomba ni kusidie awamu ya 6 pamoja na AJENDA lukuki zake laki ilipidi iombe watu kutoka Chadema kusaidie
1. JOSHUA NASSARI -MKUU WA WILAYA BUNDA
2.DR.VICENT MASHINJI MKUU WA WILAYA SERENGETI
3.LIJUALIKALI.. MKUU WA WILAYA
To mention but few
 
Huyu dada cocochanel sijui alipotelea wapi baada ya MAKONDA kupotea na yeye akapotea,wapo wengine kama.
 
CCM ni jungu kuu.

Awamu ya 6 ina AJENDA lukuki.

CCM hii haina haja ya kuokoteza huko usemako.

Siempre JMT
Mbona wengi wameokotezwa na kupewa nafasi huko Serikali wakiwaacha nyie walamba viatu mkiambulia buku 7 au huwajui?
 
Hakuna ushahidi wa matendo maovu dhidi ya hao uliowataja kama wanavyofanya CCM wenyewe
 
Argumentum ad hominem....

Sasa nani ana akili nyingi huko CDM?!!!

Kupingapinga kihisia ndio akili nyingi eee?!!!
 
Nipe orodha ya Wakuu wa wilaya nikuonesha waliookotwa huko unakosema na mwingine wa Arusha juzi kaahidiwa kazi.
Ni mwendo wa kuokota tu sasa na usishangae siku ukisikia mzee Yusufu wa jahazi anakuwa waziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…