Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, Shalom!!

Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli vilivyotelekezwa.

Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,

1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.

2. UZALENDO.

3. UCHAPAKAZI.

4. MAONO/VISION.

Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.

1. KASSIM MAJALIWA

2. PHILIP MPANGO.

3. TUNDU ANTIPAS LISSU.

4. JOSEPHAT GWAJIMA.

Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
 
gwajima???

Crap 💩
 
Kwa Gwajima Hapana..
Gwajima anakosa Misimamo..
Ila hao waliobaki 100%
 
hayupo wa kufanya chochote miongoni mwao bila busta ambae alikua ni hayati Magu mwenyewe 🤣

umenichekesha sana eti na kibaraka nae ni mzalendo na mchapakazi 🤣🤣
 
vp anko Halima ye hafai kisha first lady awe bulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…