- Thread starter
- #21
Why not?gwajima???
Crap 💩
Umempima miguu yake ukathibitisha viatu vya Magu havimtoshi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why not?gwajima???
Crap 💩
tunza wew,Tunza akina ya maneno,
Comment hizi hazifutiki 😀
Unaujua ukwasi wake huyo .Hapo umepatia mmoja tu Kassim Majaliwa.
Hao wengine ni wachumia tumbo tu
Huyo mwingine, miguu yake midogo,Mpango anafaa sana,kuna mwingine hujamuweka kwenye list ila ni president material kabisa
Yes, wengine wote ni hopelessNamba moja na 3 naona wanaweza kabisa
Mpango Hana hulka ya ukali?Hii Nchi ili iendelee inahitaji mtu anayelewa how the government works both internally & internationally kuna ma gap mengi sana kiutendaji ndani ya Nchi.
mtu pekee ambaye anaweza akawa na ufanisi katika kazi hii ni ambaye alisha wahi kuwa mtumishi wa umma Katika Wizara za kisekta -lakini hawa wanaotoka sijui kwenye ualimu au chama it will take years.
ADr.Mpango anaweza akafaya kitu,ingawa hana hulka ya ukali,so bado utakuwa unamwaga maji Baharini.
Muweke simbachawene kwenye hiyo list,au ulijua ni feb marope nini!Huyo mwingine, miguu yake midogo,
Asubiri akijua. Natania lakn😀
Mchango wako unaheshimiwa.
Crap 💩Why not?
Umempima miguu yake ukathibitisha viatu vya Magu havimtoshi?
Wewe lazima utakuwa umetumwa na Gwajima tu. Katika hali ya kawaida huwezi kuleta list ya aina hii. Mpango au Majaliwa ni viongozi wa juu ktk serikali iliyopo, kuna lipi jipya walilonalo litakaloivusha nchi?Salaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya ya na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241].
Karibuni[emoji120]
Hapo sijaona ni mmoja tu anayeweza kuvaa viatu hivyo naye ni PAUP MAKONDASalaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya ya na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241].
Karibuni[emoji120]
Ila baadae Vipi alibaki na msimamo wake?Gwajima alisimama pekeake akipingana na Dunia nzima juu ya CORONA na akashinda.
Anyway, mawazo Yako yanaheshimiwa.
Salaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya ya na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Sijatumwa na yeyote.Wewe lazima utakuwa umetumwa na Gwajima tu. Katika hali ya kawaida huwezi kuleta list ya aina hii. Mpango au Majaliwa ni viongozi wa juu ktk serikali iliyopo, kuna lipi jipya walilonalo litakaloivusha nchi?
Nabii Magu ndo kipimo Cha wanasiasa chaguzi zijazo,Kumezuka threads za kuwalinganisha wanasiasa waliopo na mwendazake na wenye traits za kufanana nae wanaonekana Bora🤔🤔🤔Bahima waheed