Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Philip Mpango hafai, hii nchi haitaki kuongozwa na watu wa namna yake, ni mpole mno.

LISSU ni mwanaharakati, hafai kuwa raisi.

GWAJIMA hafai hata kidogo, kwanza umetumia vigezo gani kumuweka hapo?

KASSIM✅️
Anatakiwa mmoja tu.

Tuombe uliyemchagua apenye, maana tangu uhuru, PM hajawahi kuwa no 1.
 
Unfortunately hao wote ni loosers na liability as we speak 😂😂
 
Unfortunately hao wote ni loosers na liability as we speak 😂😂
Maoni Yako yanaheshimiwa.

Ingawa Mimi nijuavyo, kunguni au kupe Huwa habagui, hachagui, kwake Damu ndo kitu muhimu.

Akipenya yeyote kati ya hao, lazima utaendeleza mapambio.
 
Mpango anachunguzwa na Jeshi ili arejeshwe kwao Gitega,Katelefone ni Muongo na Mlaghai hapo labda Lissu ambae huwa habubuji wala kuremba maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…