Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Gwajima alisimama pekeake akipingana na Dunia nzima juu ya CORONA na akashinda.

Anyway, mawazo Yako yanaheshimiwa.
Tanzania sio dunia nzima, waliopata chanjo hawajageuka mazombi na pia minara ya 5G inaendelea kujengwa.
 
Salaam, Shalom!!

Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.

Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,

1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.

2. UZALENDO.

3. UCHAPAKAZI.

4. MAONO.

Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.

1. KASSIM MAJALIWA

2. PHILIP MPANGO.

3. TUNDU ANTIPAS LISSU.

4. JOSEPHAT GWAJIMA.

Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Ukiachama mdomo kuongea ndio fursa ya watu kujua kiwango cha qkili ulizo nazo
 
Salaam, Shalom!!

Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.

Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,

1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.

2. UZALENDO.

3. UCHAPAKAZI.

4. MAONO.

Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.

1. KASSIM MAJALIWA

2. PHILIP MPANGO.

3. TUNDU ANTIPAS LISSU.

4. JOSEPHAT GWAJIMA.

Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Hamna mtu hapo. Halafu huyo gwaji boy labda ungemuweka kwenye kundi la porn stars angekimbiza
 
Hizo ni scandal ziso na UKWELI wowote.

Ni sawa na we Leo ndugu Algore, watu waseme wamekuona ukivuta BANGE!!
 
kati ya hao hayupo, itakuwa bandika babdua,mwanamke kuingia mwanamke na nyota inag'ara kwa Tulia Akson
 
Tanzania sio dunia nzima, waliopata chanjo hawajageuka mazombi na pia minara ya 5G inaendelea kujengwa.
Tuliambiwa tusiochanja tutakufa kama kuku,

Mbona tupo hai!!
 
kati ya hao hayupo, itakuwa bandika babdua,mwanamke kuingia mwanamke na nyota inag'ara kwa Tulia Akson
Ole wako Nchi ambayo kiongozi wako ni mwanamke au kijana mdogo!!

Ukiona hayo yameruhusiwa KUTOKEA, jua mnaadhibiwa.
 
Kuna sababu gani za viatu vya kikatili vya Magufuli kuvaliwa? Wa Tanzania ni watu wa hovyo sana.
Sifa ya ukatili halijatajwa hapo.

Rudi kusoma sifa nne nilizoainisha

1. Uzalendo

2. UTHUBUTU.

3. MAONO.

4. Uchapakazi.

Karibu🙏
 
2. PHILIP MPANGO
Hivi huyu anaweza lipi hasa? Mbona uchumi ulimshinda, hata utekelezaji tu wa mpango wa 2 wa taifa ulimshinda. Mnamkuza sana bila sababu, he's an overrated failure kama Kabudi tu.
 
Salaam, Shalom!!

Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.

Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,

1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.

2. UZALENDO.

3. UCHAPAKAZI.

4. MAONO.

Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.

1. KASSIM MAJALIWA

2. PHILIP MPANGO.

3. TUNDU ANTIPAS LISSU.

4. JOSEPHAT GWAJIMA.

Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Hapo nawaona wafuatao in descending order:
1.Phillip Mpango
2.Gwajina.

Tatizo ni NEC.Kwa kuwa imejaa wababaishaji haiwezi kuwapitisha.Kwanza si wenzao.
 
Philip Mpango hafai, hii nchi haitaki kuongozwa na watu wa namna yake, ni mpole mno.

LISSU ni mwanaharakati, hafai kuwa raisi.

GWAJIMA hafai hata kidogo, kwanza umetumia vigezo gani kumuweka hapo?

KASSIM✅️
Unaupimaje upole wa Philip Mpango?
 
Hivi huyu anaweza lipi hasa? Mbona uchumi ulimshinda, hata utekelezaji tu wa mpango wa 2 wa taifa ulimshinda. Mnamkuza sana bila sababu, he's an overrated failure kama Kabudi tu.
Hizi no chuki binafsi tu.Angekuwa hafai wasingemteu kuwa Makamu wa Rais,ni obvious wamemuona anafaa.Wewe ni mpigaji, kwa hiyo lazima uchukie watu ambao si wapigaji,si wataziba mianya?Huna lolote,na ndio maana mlimchukia JPM,shame on you.
 
Back
Top Bottom