Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Salaam, Shalom!!

Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.

Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,

1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.

2. UZALENDO.

3. UCHAPAKAZI.

4. MAONO/VISION.

Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.

1. KASSIM MAJALIWA

2. PHILIP MPANGO.

3. TUNDU ANTIPAS LISSU.

4. JOSEPHAT GWAJIMA.

Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241].

Karibuni[emoji120]
Ondoa wote weka makonda
 
Hebu fanya marekebisho kidogo!
Namba 1 out weka namba 3
Namba 2 Ije namba 4 futa iliyopohivyo namba 4 weka Mpina Luhanga.
Naomba nne itakuwa na watu wawili Kwa mpangilio wako.

Pangilia wewe tuone, weka na sababu🙏
 
3 hatabiriki ana uginjwa wa akili
Ulimpima ugonjwa huo?

By the way hata wewe ni kichaa Sema tu hakijaamka sababu katika Ubongo wa Kila mwanadamu, Kuna funza Kwa ajili ya kubalance hasira.

Bila Mungu kukuongoza, unaweza fanya jambo Ulimwengu ukashangaa!!
 
Tupo kwenye nchi ambayo wanasiasa ndio matajiri wa nchi. Hakuna nchi yenye maendeleo ambayo wanasiasa ni matajiri. Serikali inangaika kuongeza wilaya, mikoa na wizara ili watu wapate ajira. Nchi ambayo mtu ambaye hana elimu hata ya sekondari anakaa katika kamati kuu ya chama cha serikali kinachofanya maaamuzi ya nchi nzima. Tutafika kweli ? Huyo unayemtaja alitumia zaidi ya trillioni mbili katika ujenzi wa reli kutoka dar mpaka mwanza. Hio hela itarudi kivipi ?. Alifanya utafiti gani kuona kuna abiria na mizigo mingi inayoenda mwanza ambapo hio hela ingerudi. Je mwanza kuna foleni ya malori kama tunduma ? Hata mtoto wa shule ya msingi anaona kuna shida hapa. Kuna mambo mengi yanakatisha tamaa. Lakini tatizo kubwa ni watanzania hatujaamka sisi hatupo kama wakenya bado tumelala sana.
Ndomana tunadai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi.
 
Hata sasa mazingira Yale Yale yanakinyemelea chama.

CCM imechokwa, turudi pekee ni mgombea mwenye sifa anayekubalika na wananchi asiye na makandokando.

Aliyepo CCM hauziki, akiteuliwa apeperushe bendera ya chama, upinzani utatoa mshindi hata Kwa kupiga mikwaju ya penalty.

Tusubiri.
Mkuu hili wanalijua,na ndio maana Samia ameweke her people in key positions, wamekataa Tume Huru ya Uchaguzi na Wakurugenzi wa Halimashauri ndio wasimamizi wa uchaguzi.Hawa jamaa huwa wanatangaza ushindi kwa CCM kwa mtu CCM inayempenda, taarifa tunazo mkuu.So no doubt about it,CCM watatangazwa washindi,hata kama wakishindwa.Rais Tanzania anateuliwa, hachaguliwi.Kwa mantiki hiyo uchaguzi Tanzania is a wastage of the Nations' resources.
 
Mkuu hili wanalijua,na ndio maana Samia ameweke her people in key positions, wamekataa Tume Huru ya Uchaguzi na Wakurugenzi wa Halimashauri ndio wasimamizi wa uchaguzi.Hawa jamaa huwa wanatangaza ushindi kwa CCM kwa mtu CCM inayempenda, taarifa tunazo mkuu.So no doubt about it,CCM watatangazwa washindi,hata wakishindwa.Rais Tanzania anateuliwa hachaguliwi,kwa hiyo Uchaguzi is a wastage of the Nations' resources.
Ningeongea zaidi bt wacha niweke akiba ya maneno.

Bt in short, CCM wakikaza shingo na kuleta aliyepo, mbeleni Si kwema hata kdg.

Tusubiri.
 
Dawa ya makuwadi ya Samia na dpworld hio, mapoyoyo na mabwabwa ya lumumba lazima yatetemeke.
Wewe umeelewa vizuri,

CCM ikija na mgombea dhaifu, hakuna RANGI ambayo hawatoona huko mbeleni.
 
Salaam, Shalom!!

Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.

Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,

1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.

2. UZALENDO.

3. UCHAPAKAZI.

4. MAONO/VISION.

Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.

1. KASSIM MAJALIWA

2. PHILIP MPANGO.

3. TUNDU ANTIPAS LISSU.

4. JOSEPHAT GWAJIMA.

Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241].

Karibuni[emoji120]
Takataka tupu
 
Nchi imekosa watu hii mpaka akina Gwajima[emoji23]
 
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Kwa mawazo haya ama kweli Pro. Limumba alikuwa sahihi

View: https://youtu.be/ZKx4c6B6vMM?si=R499FCZypyJIYTJ3
 
Back
Top Bottom