Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuomba Mungu tusifike huko.Wote tuendelee kuliombea taifa ili libaki salama.Ningeongea zaidi bt wacha niweke akiba ya maneno.
Bt in short, CCM wakikaza shingo na kuleta aliyepo, mbeleni Si kwema hata kdg.
Tusubiri.
Hapa sijakupata mkuu👉hakuna RANGI ambayo hawatoona huko mbeleni.Wewe umeelewa vizuri,
CCM ikija na mgombea dhaifu, hakuna RANGI ambayo hawatoona huko mbeleni.
Akashindaje? Weka takwimu hapa.Gwajima alisimama pekeake akipingana na Dunia nzima juu ya CORONA na akashinda.
Anyway, mawazo Yako yanaheshimiwa.
Lissu anafaaSalaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO/VISION.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241].
Karibuni[emoji120]
Ni opportunist tu huyu,hana nia ya dhati ya kuwatunikia wa-TZ.Halafu worse still, anaongozwa na mihemko na haijui dunia inavyoendeshwa.Finally sio presidential material,hana hekima,weledi nk. nk.,so hafai.Makonda kali yao
Sukuma gang kaziniHapo umepatia mmoja tu Kassim Majaliwa.
Hao wengine ni wachumia tumbo tu
Mlinda legacy hewaHapo umepatia mmoja tu Kassim Majaliwa.
Hao wengine ni wachumia tumbo tu
Huyo ndiyo anafaa kabisaNamba moja na 3 naona wanaweza kabisa
Nuksi ni Lumumba wenzako woteHiyo projection yako umeitia nuksi baada ya kuchomeka mchomoko wa uropa (3). Hapo hakuna uzalendo mkuu
Sukuma gang kaziniNamba 4, 3 [emoji777]
Lissu na mihemko yake!No Rais anatakiwa awe mtu mwenye hekima,busara na akili iliyotulia.Anatakiwa pia ajue Dunia inavyoendeshwa, ili isiwe rahisi kumuingiza mkenge.Lissu lacks those important characters,kwa hiyo hatufai.Lissu anafaa
Wengi hatutakiWengne hzo habar ndio tunazitaka ,upumbavu wa kutuweka giza kama tupo kuzimu wa nn!? Maisha kuwa juu ,nchi kuduma ya nn yte hayo bora muokotwe tu kwenye hayo maroba kama ninyi ndio mnatukwamisha
Concept ya Sukuma gang is an illusion,acheni ujinga.Mna nia ovu tu ya kupaka matope yeyote anayeipenda Tanzania kwa dhati na anayependa maendeleo ya Watanzania,that is lifting them out of poverty.Ninyi in principle ni wapigaji,ni watu wa kuogopwa kama ukoma.Sukuma gang kazini
Gwajima tena. Dah? Mzee wa miujuza ya michongoSalaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO/VISION.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Katelephone hawezi kuwa raisi🤣🤣🤣🤣🪑💺Hapo umepatia mmoja tu Kassim Majaliwa.
Hao wengine ni wachumia tumbo tu
Kasim na Mpango , wameshindwa kuonyesha Uwezo wao sasa, kwamba wametulia ili waje wauonyeshe baadae ??.Salaam, Shalom!!