Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Tundu Lissu akifanikiwa URaisi, ataiingiza Tanzania kwenye Historia ya Dunia na Gueness Books of Record, kuwa Nchi ya Kwanza Africa kuteuwa Mawaziri MASHOGA, na ata Bariki na kuifanya Sheria ya NDOA ZA NJISIA MOJA kutumika TZ. Pia ataueneza ukabila, kwani hatateu Waziri au KIONGOZI yoyote mwenye ASILI YA KISUKUMA.
Hayo umeyatoa wapi?
 
Maviatu ya kumwaga damu na kujenga chuki kwa Watanzania hatuyataki. Peleka Chato huko mkazikwe naye.

Huyu Magufuli alikataliwa na Mungu lakini wajinga bado mnamfagilia??

Hivi angekuwa hai unadhani watu wangapi wangekuwa wamepotea kwa sasa. Tanzania ingekuwa jehanam
Kwamba tangu alipofariki watu wameacha kupotea?

Pia mada inamjadili Magu Kwa sifa kuu nne pekee, 1. Uzalendo, 2. Uthubutu 3. Uchapakazi 4. MAONO.

Jadili HOJA hapo juu , ikiwa huna HOJA nyamaza kimya.
 
MATUMAINI KUWA CCM ITALETA MABADILIKO KATIKA MAISHA YA WATANZANIA NI NDOTO, HATA MIRADI YA MWENDAZAKE NI KAMA UCHOCHORO TU WA WAJANJA KUTAFUNA KODI ZA WATANZANIA
 
MATUMAINI KUWA CCM ITALETA MABADILIKO KATIKA MAISHA YA WATANZANIA NI NDOTO, HATA MIRADI YA MWENDAZAKE NI KAMA UCHOCHORO TU WA WAJANJA KUTAFUNA KODI ZA WATANZANIA
CCM halijatajwa katika Uzi. By the way Lissu Si CCM.

Tujadili sifa hizo nne hapo juu Kwa watajwa.

Tutapata Katiba mpya nzuri kudhibiti hayo.

Kwa sasa tujikite kwenye mada 🙏
 
Kasim na Mpango , wameshindwa kuonyesha Uwezo wao sasa, kwamba wametulia ili waje wauonyeshe baadae ??.

Hamna anayefaa kua Rais hapo.


Lissu, atahitaji kutaka kufatilia Suala lake , hivo Roho ya kisasi inaweza kuhatarisha usalama wa Nchi.... HAFAI.


Kwa Ufupi, Rais akitokea Kanda ya Ziwa, lazima aivushe Nchi, sisi ni watu wa kujiamin, Uthubutu, hatuyumbishwi, Wazalendo, tuna maono, na wasomi !!.
Umeharibu ulipoingiza maneno "sisi" na "ukanda".

Lakini Asante Kwa mchango wako.
 
Kashaleta meli za uvuvi kawe? Watu wa kawe washaanza kwenda birmingham.

Gwaji ni tapeli tu
Jenga HOJA basi kama unaweza ukihusisha sifa kuu nne hapo juu🙏
 
Back
Top Bottom