Tanzania sio dunia nzima, waliopata chanjo hawajageuka mazombi na pia minara ya 5G inaendelea kujengwa.Gwajima alisimama pekeake akipingana na Dunia nzima juu ya CORONA na akashinda.
Anyway, mawazo Yako yanaheshimiwa.
U nani wewe😀Hivi unanifahamu vizuri? Mimi nizaidi ya JPM
AmiinMungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Ukiachama mdomo kuongea ndio fursa ya watu kujua kiwango cha qkili ulizo nazoSalaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Hamna mtu hapo. Halafu huyo gwaji boy labda ungemuweka kwenye kundi la porn stars angekimbizaSalaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Tunatumia uhuru tulipewa na Katiba.Ukiachama mdomo kuongea ndio fursa ya watu kujua kiwango cha qkili ulizo nazo
Hizo ni scandal ziso na UKWELI wowote.Hamna mtu hapo. Halafu huyo gwaji boy labda ungemuweka kwenye kundi la porn stars angekimbiza
Kwa hiyo ile video akinyemka ilikuwa photoshop?Hizo ni scandal ziso na UKWELI wowote.
Ni sawa na we Leo ndugu Algore, watu waseme wamekuona ukivuta BANGE!!
Director wa scandal movie ya Gwaji ni yule yule aliyedirect movie ya chongololo!!Kwa hiyo ile video akinyemka ilikuwa photoshop?
Tuliambiwa tusiochanja tutakufa kama kuku,Tanzania sio dunia nzima, waliopata chanjo hawajageuka mazombi na pia minara ya 5G inaendelea kujengwa.
Ole wako Nchi ambayo kiongozi wako ni mwanamke au kijana mdogo!!kati ya hao hayupo, itakuwa bandika babdua,mwanamke kuingia mwanamke na nyota inag'ara kwa Tulia Akson
Sifa ya ukatili halijatajwa hapo.Kuna sababu gani za viatu vya kikatili vya Magufuli kuvaliwa? Wa Tanzania ni watu wa hovyo sana.
Hivi huyu anaweza lipi hasa? Mbona uchumi ulimshinda, hata utekelezaji tu wa mpango wa 2 wa taifa ulimshinda. Mnamkuza sana bila sababu, he's an overrated failure kama Kabudi tu.2. PHILIP MPANGO
Huyu ni mropokaji tu ila utendaji zero kabisa. Tatizo waTanzania tunadhani anayeongea sana ndio anaweza utendaji wakati sio kweli.4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Hapo nawaona wafuatao in descending order:Salaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Unaupimaje upole wa Philip Mpango?Philip Mpango hafai, hii nchi haitaki kuongozwa na watu wa namna yake, ni mpole mno.
LISSU ni mwanaharakati, hafai kuwa raisi.
GWAJIMA hafai hata kidogo, kwanza umetumia vigezo gani kumuweka hapo?
KASSIM✅️
Hizi no chuki binafsi tu.Angekuwa hafai wasingemteu kuwa Makamu wa Rais,ni obvious wamemuona anafaa.Wewe ni mpigaji, kwa hiyo lazima uchukie watu ambao si wapigaji,si wataziba mianya?Huna lolote,na ndio maana mlimchukia JPM,shame on you.Hivi huyu anaweza lipi hasa? Mbona uchumi ulimshinda, hata utekelezaji tu wa mpango wa 2 wa taifa ulimshinda. Mnamkuza sana bila sababu, he's an overrated failure kama Kabudi tu.