Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungechambua sifa zao ingependeza sana.Hapo umepatia Kassim Majaliwa na Tundu Lissu tu. Hao wengine tupa kule.
Magufuli hakutajwa kati ya hao 4.Magufuli ni mwizi
Philp Mpango sio mwizi
Majaliwa ni jizi liongo
Lissu sio mwizi
Bunge ndio linahusika na umeme!?Yeye ndiye sababu la hili bunge la kijinga kwa kuwanunua wabunge
Huu nashangaa sana wengi wanazunguka sana. Hawataki kusema ukweli.Bunge ndio linahusika na umeme!?
Hujui kuwa mojawapo ya kazi ya bunge ni kuhoji na kuiwajibisha serikali itimize majukumu yake vizuri kutia ndani wizara ya nishati ambayo TANESCO iko chini ya wizara hiyoBunge ndio linahusika na umeme!?
Salaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO/VISION.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Upo sahihi Ila namba 4 weka Anthony Mtaka .Salaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO/VISION.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Antony Mtaka Yuko vizuri. Umri wake Bado.Upo sahihi Ila namba 4 weka Anthony Mtaka .
Wapo watu sahihi Ila tumwombe Mungu waweze kupenya Kwenye kinyang’anyiro, mwanga una nguvu kuliko giza.
Hata kabla ya 2015 nilitoa maoni katika mada mbalimbali kuwa jpm anafaa kuongoza na Hata hawa wanafaa vilevile .
Ana Miaka mingapi ?Antony Mtaka Yuko vizuri. Umri wake Bado.
Aendeleze kupata uzoefu atatufaa mbeleni, next election aingie bungeni.
Less than 45, maana secondary kidato Cha nne, kamaliza 2000, Mwembeni sec Musoma kama sijakosea.Ana Miaka mingapi ?
Katiba inataka raisi awe na umri gani minimum ?Less than 45, maana secondary kidato Cha nne, kamaliza 2000, Mwembeni sec Musoma kama sijakosea.
Sikubishii, aweza faa Kwa vigezo vyako. Bt Si Rahisi kumuweka Kila mtu hapo juu.Katiba inataka raisi awe na umri gani minimum ?
Huyu jamaa ana busara , Ana akili , Ana nguvu na spidi ya kazi na udhubutuSikubishii, aweza faa Kwa vigezo vyako. Bt Si Rahisi kumuweka Kila mtu hapo juu.
Akigombea ubunge, na baadae akawa waziri wa ELIMU,
Tutapiga hatua kubwa.
Anthony mtaka na Bashiru ally unawaachaje?Salaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO/VISION.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Antony profile yake Bado IPO chini labda 10yrs to come, Bashiru sawa, anaweza kuwa namba 5,6,7....... Kwenye list.Anthony mtaka na Bashiru ally unawaachaje?
Wote wako vizuri. Obvious hawawezi kuacha tatizo kama umeme liwepo miaka mitatu wakipiga misele duniani.Anthony mtaka na Bashiru ally unawaachaje?
Huu ni UKWELI mchungu!!!Ni hivi wana utamaduni wa undugu. Utamaduni wao ni kujali ndugu zako, Watanzania wote kwao ni ndugu za
Ni kanda pekee unaweza kukuta mkuu wa wilaya Mchagga, diwani Mhehe, wapambandaji wote wanalikwa na kupewa haki sawa. Ipo kwenye DNA yao.
Huwezi kukuta watu kama Nyerere, JPM wanataka kuweka wake zao, watoto wao kwenye uongozi wa juu wa nchi, hawawezi kukubali nchi ikose kitu kama umeme, maji, kuuza misitu, Ngorongoro, mfumuko wa bei, matatizo ya ardhi wakakaa kimya. Watapambana na hizo issue kutoka moyoni. Sio kuuza sura, maneno ya matamu ya ulaghai, kurembua macho.
Mi naongeza THE BIG SHOW 😀Ongeza jina la Kadinali pengo na mwamposa hapo