BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
chama mfu kilichopoteza uelekeo kina haha na ramli tu sasaivi dah1. Wenje
2. Sugu
3.Mungai yule kamanda kule Iringa
4.Yericko Nyerere
5.Mbowe mwenyewe
6.Gwajima
7.Mpina Luhanga
8. Covid 19
Na mmoja wapo kati ya hao leo atatambulishwa na ACT wazalendo.
Mungai ccm wamemuundia zengwe wanataka bank wapige mnada nyumba zao huko kawe1. Wenje
2. Sugu
3.Mungai yule kamanda kule Iringa
4.Yericko Nyerere
5.Mbowe mwenyewe
6.Gwajima
7.Mpina Luhanga
8. Covid 19
Na mmoja wapo kati ya hao leo atatambulishwa na ACT wazalendo.
Haahaa Kuna kaukweli1. Wenje
2. Sugu
3.Mungai yule kamanda kule Iringa
4.Yericko Nyerere
5.Mbowe mwenyewe
6.Gwajima
7.Mpina Luhanga
8. Covid 19
Na mmoja wapo kati ya hao leo atatambulishwa na ACT wazalendo.
Mnyika ana furaha kwenye uongozi mpya kwani ni katibu mkuu kamili sasa, anatia sahihi kuchua pesa bank na wajibu wake anautimiza vizuri tofauti na kipindi cha Mbowe ambapo katibu mkuu hakuwa na mamlaka kitengo cha fedhaMnyika
Umeingia chakaNchi hii kuna kitu moja nimegundua, wananchi wana imani kubwa sana na CHADEMA.
Covid 19 Esta matiko ni hawala wa Salum mwalimu kazaa nae mtoto huyo lazima aende chaumaubwabwaHaahaa Kuna kaukweli
kama ni chama mfu, mbona kila kukicha unakiongeleachama mfu kilichopoteza uelekeo kina haha na ramli tu sasaivi dah
Chaka ni ccm kuanguka anguko kubwa mwaka huu, watu hawatajitokeza kupiga kura ccm itadhoofika kama KANU ya Kenya, Utabiri wa marehemu Shekhe Yahya unaenda kutimia Dr mpango atakuwa Rais wa mpito, mungu anaenda kutenda jambo kubwa kama Senegal, Ghana,Zambia waliotoka jela ndiyo marais sasaUmeingia chaka
ni kawaida kwenye maombolezo kumzungumzia marehemu gentlemankama ni chama mfu, mbona kila kukicha unakiongelea
ongelea vyama hai basi
Huyu atabaki hapohapo CDM mpaka pale atakapopangiwa nafasi kwenye chama kinginešMnyika
ukiona hivyo jua na chama lako CCM ni marehemu maana imeandikwani kawaida kwenye maombolezo kumzungumzia marehemu gentleman
Makubwa1. Wenje
2. Sugu
3.Mungai yule kamanda kule Iringa
4.Yericko Nyerere
5.Mbowe mwenyewe
6.Gwajima
7.Mpina Luhanga
8. Covid 19
Na mmoja wapo kati ya hao leo atatambulishwa na ACT wazalendo.
Nashauri waende Chaumma kuokoa jahazi - maana mambo ya jana ilikiwa ni aibu kubwa kwa hawa wasaliti.1. Wenje
2. Sugu
3.Mungai yule kamanda kule Iringa
4.Yericko Nyerere
5.Mbowe mwenyewe
6.Gwajima
7.Mpina Luhanga
8. Covid 19
Na mmoja wapo kati ya hao leo atatambulishwa na ACT wazalendo.
Waendelee kupotea tutengeneze kizazi kipya cha wanasiasa. Miaka Karibia 30 waliyotumika inatosha.1. Wenje
2. Sugu
3.Mungai yule kamanda kule Iringa
4.Yericko Nyerere
5.Mbowe mwenyewe
6.Gwajima
7.Mpina Luhanga
8. Covid 19
Na mmoja wapo kati ya hao leo atatambulishwa na ACT wazalendo.