huna haja ya kuweweseka gentleman, useless chadema is no moreukiona hivyo jua na chama lako CCM ni marehemu maana imeandikwa
acha wafu wawaombee wafu wenzao
kwa hio marehemu mnaongeleana wenyewe
kwenye huu uzi nani anayeweweseka zaidi yako?huna haja ya kuweweseka gentleman, useless chadema is no more
chama kishajifia siku nyingi umebaki kumbwelambwela tu jukwaanikwenye huu uzi nani anayeweweseka zaidi yako?
hivi na mie napataje hizo buku 7 za kupiga makelele humu ndani, niwee kwenye payroll basi
Hivi ya kujadili huko CDM? Mana kutwa kiguu na njia kutaftiza vijihabari vya CHAUMMA, ACT ...1. Wenje
2. Sugu
3.Mungai yule kamanda kule Iringa
4.Yericko Nyerere
5.Mbowe mwenyewe
6.Gwajima
7.Mpina Luhanga
8. Covid 19
Na mmoja wapo kati ya hao leo atatambulishwa na ACT wazalendo.
Wewe jadili utekaji wako jadili mauaji yako hadili wizi wa pesa za walipa kodiHivi ya kujadili huko CDM? Mana kutwa kiguu na njia kutaftiza vijihabari vya CHAUMMA, ACT ...
Ok, mgawanyo mzr pia. Nyie endeleeni kujadili ya CHAUMMA, ACT then shabikieni wazungu na wakenyaWewe jadili utekaji wako jadili mauaji yako hadili wizi wa pesa za walipa kodi