Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
Hawa wafugaji ni vinara wa kutangaza amani kwa wakulima kwa zaidi ya miaka 35 sasa ila maajabu yalioje wanaficha mapanga na vitu vya ncha kali kwenye makoti yao.
Wafugaji hawajali lolote kuhusu wakulima hawa,tena wameenda mbali zaidi hata kufichua mapanga yao bila kuhofia lolote kwa wakulima.
Wafugaji wamegoma kabisa kugawana mashamba kwa usawa licha ya marehemu wa kijiji hiko kutoa zaidi ya heka million 9 za mashamba hayo bure kwa wafugaji ya wakulima.
Wafugaji wanajiaminisha kuwa mashamba yote yalioachwa na marehemu ni mali yao hivyo wasitake fadhila za kipuuzi.
Lakini mbona wakati marehemu yupo hai mlikubali wote kugawana mashamba hayo kwa usawa.Mlimzuga marehemu? Au marehemu mlimuona mjinga kugawa mashamba kwa wote? Angeamua si angewapa familia yake tu?
Mnamsingizia marehemu kuwa kama angetaka tugawane mashamba angeacha maandiko ya kugawana wote,mnajiuliza mbona maandiko yapo upande wetu ninyi hamuonekani?
Mnasahau kuwa hata marehemu mashamba aliyo acha alipewa kama zawadi na rafiki yake kutoka Sweden tena kwa masharti ya kuwapa wakulima na wafugaji bure pale anapoona umri utamtupa mkono.
Wafugali mmeamua kutumia sumu kudhulumu haki za wakulima waziwazi?Kama hamtaki kugawana mashamba na wakulima basi badilisheni nyaraka za marehemu ziwe upande wenu hadi dunia itakapoisha.Mnamuogopa nani? Mbona wafugaji wa nchi za mbali wameweza? Tena hata habari zao hawaogopi kuzisema kwa walimwengu.
Wafugaji kila siku mkienda kuwatembelea wavuvi huko magharibi kutaka ushirikiano nao mnadanganya kuwa tupo teyari kugawana mashamba na wakulima,mnafikiri wavuvi hawaoni? Si juzi tu hapo mfugaji mmoja alizuiliwa kwenda kuoa huko magharibi?
Kama hamtaki kugawanya mashamba na wakulima badilisheni nyaraka za marehemu na mjitangaze kuwa hamuwezi kugawana mashamba na wakulima.
Mungu wabariki wakulima maana wao ndio wanawalisha hata wafugaji licha ya mateso na udhalimu wanaowafanyia.