kwenye hizo hotel unazoenda unaambiwa wanataka kuku wa kienyeji, wakupe info zaidi kama idadi, bei, na wanataka supply kwa wiki mara ngapi. broiler ikibuma unabadili gia angani na kuanza kutafua kienyeji coz soko ushapata. mlango mmoja ukifunga Mungu anafungua mingine...kwenye kila changamoto kuna fursa...toa macho vizuri utaonaMkuu nimeshazunguka sanaa ila kila mtu anakwambia ana mtu wake anae mletea. Pia asilimia nyingi ya hotel za kitalii zinataka kuku kienyeji sio hawa wakizungu.
Nakuja pm mkuuUko wapi? Mi nina soko la uhakika hata kama una kuku 10k. Ili mradi wawe na vigezo vinavyohitajika. Nipo Dar
Poa mkuukwenye hizo hotel unazoenda unaambiwa wanataka kuku wa kienyeji, wakupe info zaidi kama idadi, bei, na wanataka supply kwa wiki mara ngapi. broiler ikibuma unabadili gia angani na kuanza kutafua kienyeji coz soko ushapata. mlango mmoja ukifunga Mungu anafungua mingine...kwenye kila changamoto kuna fursa...toa macho vizuri utaona
Duuuh kumbe 30 hao kula tu mkuu au uza kwa Bei ya hasara kwa wauza chips lazima watakuchangia.30 kaka nimetoa wachache juz
kwa kuku unauzaje, uzito ukikadiria30 kaka nimetoa wachache juz
Hivi kweli mkuu, ungekuwa ni wewe ungeweza kuuliza mambo hayo kwa hali hiyo aliyonayo sasa?!!hapo anahangaika kwanza aondokane na kuku hao alionao, aanze tena kubadiri gia hewani!!?kwenye hizo hotel unazoenda unaambiwa wanataka kuku wa kienyeji, wakupe info zaidi kama idadi, bei, na wanataka supply kwa wiki mara ngapi. broiler ikibuma unabadili gia angani na kuanza kutafua kienyeji coz soko ushapata. mlango mmoja ukifunga Mungu anafungua mingine...kwenye kila changamoto kuna fursa...toa macho vizuri utaona
Mkuu Kienyeji tena? Wazungu wanakula Broiler, sema Hoteli za Kitalii hazinunui moja kwa moja kutoka kwa producer bali wana supplier wao.Mkuu nimeshazunguka sanaa ila kila mtu anakwambia ana mtu wake anae mletea. Pia asilimia nyingi ya hotel za kitalii zinataka kuku kienyeji sio hawa wakizungu.
Wale wana supplier wao, na ni contract kabisa ila nijuavyo mahotelini wanakula Broiler,kwenye hizo hotel unazoenda unaambiwa wanataka kuku wa kienyeji, wakupe info zaidi kama idadi, bei, na wanataka supply kwa wiki mara ngapi. broiler ikibuma unabadili gia angani na kuanza kutafua kienyeji coz soko ushapata. mlango mmoja ukifunga Mungu anafungua mingine...kwenye kila changamoto kuna fursa...toa macho vizuri utaona