Wafugaji wa broilers huko kwenu soko lipoje?

Mkuu nimeshazunguka sanaa ila kila mtu anakwambia ana mtu wake anae mletea. Pia asilimia nyingi ya hotel za kitalii zinataka kuku kienyeji sio hawa wakizungu.
kwenye hizo hotel unazoenda unaambiwa wanataka kuku wa kienyeji, wakupe info zaidi kama idadi, bei, na wanataka supply kwa wiki mara ngapi. broiler ikibuma unabadili gia angani na kuanza kutafua kienyeji coz soko ushapata. mlango mmoja ukifunga Mungu anafungua mingine...kwenye kila changamoto kuna fursa...toa macho vizuri utaona
 
Poa mkuu
 
Hivi kweli mkuu, ungekuwa ni wewe ungeweza kuuliza mambo hayo kwa hali hiyo aliyonayo sasa?!!hapo anahangaika kwanza aondokane na kuku hao alionao, aanze tena kubadiri gia hewani!!?
 
Duuuh kumbe 30 hao kula tu mkuu au uza kwa Bei ya hasara kwa wauza chips lazima watakuchangia.
Walikua kama 47 hivi sema walikufa kama 3 hivi na wengine niliuza japo kwa hasara
 
Nahitaji Vifaranga wa Broiler Kwa Dar ntapata wapi?
 
Mkuu nimeshazunguka sanaa ila kila mtu anakwambia ana mtu wake anae mletea. Pia asilimia nyingi ya hotel za kitalii zinataka kuku kienyeji sio hawa wakizungu.
Mkuu Kienyeji tena? Wazungu wanakula Broiler, sema Hoteli za Kitalii hazinunui moja kwa moja kutoka kwa producer bali wana supplier wao.

Ila unaweza ukawa unachinja unauza, Jioni unatafuta sehemu ilioko bise sana ya watu ka kule Friends corner au Mianzini na unakuwa unauza vipande vipande, wale Mgambo unatafuta mmoja bosi wao unamtoa pesa ili wasikusumbue,

Ukichinja na kuuza unaweza pta faida
 
kwenye hizo hotel unazoenda unaambiwa wanataka kuku wa kienyeji, wakupe info zaidi kama idadi, bei, na wanataka supply kwa wiki mara ngapi. broiler ikibuma unabadili gia angani na kuanza kutafua kienyeji coz soko ushapata. mlango mmoja ukifunga Mungu anafungua mingine...kwenye kila changamoto kuna fursa...toa macho vizuri utaona
Wale wana supplier wao, na ni contract kabisa ila nijuavyo mahotelini wanakula Broiler,
 
Back
Top Bottom