emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,001
- 1,430
kwenye hizo hotel unazoenda unaambiwa wanataka kuku wa kienyeji, wakupe info zaidi kama idadi, bei, na wanataka supply kwa wiki mara ngapi. broiler ikibuma unabadili gia angani na kuanza kutafua kienyeji coz soko ushapata. mlango mmoja ukifunga Mungu anafungua mingine...kwenye kila changamoto kuna fursa...toa macho vizuri utaonaMkuu nimeshazunguka sanaa ila kila mtu anakwambia ana mtu wake anae mletea. Pia asilimia nyingi ya hotel za kitalii zinataka kuku kienyeji sio hawa wakizungu.