The Boss hata humu humu ndani kuna watu walikua wanawatahadharisha kuhusu hiyo biashara ila waliokua waki-deal na hayo mambo walikua wakali sana pale mtu alipoeleza kinyume na walivyoamini.
Natumai watu watajifunza maana baada ya hii itakuja aina nyingine.

Kuna kipindi hili jukwaa lilikua limejaa habari ya Kware na mayai ya kware.Watu walikua wako moto kuingia kwenye hii biashara wakiamini ni fursa yakuwatoa kwenye umasikini.
Binafsi tokea hii kitu imeanza kuwa hot news sikua na imani nayo sababu hapakuonekana soko la uhakika.
Watanzania wenzangu naomba tujifunze kwamba haijalishi ni kiasi gani una kiu ya maendeleo,usiwekeze katika kitu mpaka uwe na uhakika wa soko wa unachowekeza.
Sasa hivi sioni tena wale ndugu zetu wa kware humu ndani na hii biashara tuitumie kama mfano wa kujifunza.Usiunge tu tela kufanya kitu kisa umeona watu wengi wanashabikia.
Mbarikiwe.
Vitunguu iringa unalima?
niuzie shamba
Nina shamba morogoro ila halitoshi kuuza.Nikisia wanaouza ntakujulisha,mwaka huu napumzika.mwaka jana ilikua hasara sana
Funguka mkuu.
Na wewe ulijaribu nini?
Moro wilaya gani
na mimi moro nataka kulima vitunguu but sina wenyeji wataalamu[/QUOTE
Ruaha mbuyuni.
Njoo utembee siku moja japo sidhani kama niko kwenye kundi la wataalamu wa kilimo,bado kuna mengi nahitaji kujifunza.Kunaitwa Malolo.