Wafugaji wa kware, Wauzaji wa mayai ya kwake

Wafugaji wa kware, Wauzaji wa mayai ya kwake

queenkami

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2010
Posts
1,694
Reaction score
1,249
Kuna kipindi hili jukwaa lilikua limejaa habari ya Kware na mayai ya kware.Watu walikua wako moto kuingia kwenye hii biashara wakiamini ni fursa yakuwatoa kwenye umasikini.

Binafsi tokea hii kitu imeanza kuwa hot news sikua na imani nayo sababu hapakuonekana soko la uhakika.
Watanzania wenzangu naomba tujifunze kwamba haijalishi ni kiasi gani una kiu ya maendeleo,usiwekeze katika kitu mpaka uwe na uhakika wa soko wa unachowekeza.

Sasa hivi sioni tena wale ndugu zetu wa kware humu ndani na hii biashara tuitumie kama mfano wa kujifunza.Usiunge tu tela kufanya kitu kisa umeona watu wengi wanashabikia.
Mbarikiwe.
 
Mm biashara ni mfanyaji na ninapenda idea mpya hata zenye changamoto ila ninaposhawishiwa kuwekeza sehemu kitu cha kwanza ninachoqnza kufikiria ni soko.Kama hakuna soko lakueleweka nakaa mbali
 
Kama uko up to date na news kilichotokea Tanzania kilianzia Kenya
Kenya nayo hii business ili hit mno na ikafa ghafla

Wanasema ilikuwa kama 'pyramid scheme' ingine

Bussiness hii ilibase kwenye uongo kuwa hayo mayai ya kware ni dawa ya magonjwa
sugu kama ukimwi na mwingine

Sasa since huo ni uongo ilikuwa lazima hii bussiness ife kwa ghafla sababu watu watajua tu
kwa kuangalia wagonjwa wao wasivyo pona.....

Kwa Watanzania engi walio vamia hii bussiness walinishangaza sababu
habari za hii scheme zilikuwa all over the news kwenye Kenyan Media...na magazeti na channel za Kenya zipo tele
 
The Boss hata humu humu ndani kuna watu walikua wanawatahadharisha kuhusu hiyo biashara ila waliokua waki-deal na hayo mambo walikua wakali sana pale mtu alipoeleza kinyume na walivyoamini.
Natumai watu watajifunza maana baada ya hii itakuja aina nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Ili kera sn kwa tuliufaham ukweli ikawa tofauto kabsa na walivyotangaza
 
The Boss hata humu humu ndani kuna watu walikua wanawatahadharisha kuhusu hiyo biashara ila waliokua waki-deal na hayo mambo walikua wakali sana pale mtu alipoeleza kinyume na walivyoamini.
Natumai watu watajifunza maana baada ya hii itakuja aina nyingine.

Vitunguu iringa unalima?
niuzie shamba
 
Walioanzisha hii biashara hapo Kenya walifanikiwa sana na kuwavutia wengine ambao nao walinunua mayai na kware kwa ajili ya kufuga, wafugaji wakawa wengi na mayai ambayo hayatibu yakajaa sokoni na hakuna wa kununua. Ikagundulikaa wanunuzi wakubwa walikuwa wafugaji na sio watumiaji.

Rafiki yangu mmoja akaamua kufanya hii biashara nikamshauri against it na information zote nikampa hakusikia. Sasa tunalazimishwa kununua mayai ya kware. Hakuna soko.

The Boss hata humu humu ndani kuna watu walikua wanawatahadharisha kuhusu hiyo biashara ila waliokua waki-deal na hayo mambo walikua wakali sana pale mtu alipoeleza kinyume na walivyoamini.
Natumai watu watajifunza maana baada ya hii itakuja aina nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo biashara sawasawa na waganga wa kienyeji. Hivi mtu ataanzaje kusema uongo afu wewe unaunga tela uongo? Watanzania ni jambo la kawaida kushabikia upuuzi
 
The Boss uko hata humu humu ndani kuna watu walikua wanawatahadharisha kuhusu hiyo biashara ila waliokua waki-deal na hayo mambo walikua wakali sana pale mtu alipoeleza kinyume na walivyoamini.
Natumai watu watajifunza maana baada ya hii itakuja aina nyingine.
 
Last edited by a moderator:
bado hii ni dawa... virutubisho katika haya mayai ni zaidi na bora kwa mwili wa binadamu
 
Kuna kipindi hili jukwaa lilikua limejaa habari ya Kware na mayai ya kware.Watu walikua wako moto kuingia kwenye hii biashara wakiamini ni fursa yakuwatoa kwenye umasikini.

Binafsi tokea hii kitu imeanza kuwa hot news sikua na imani nayo sababu hapakuonekana soko la uhakika.
Watanzania wenzangu naomba tujifunze kwamba haijalishi ni kiasi gani una kiu ya maendeleo,usiwekeze katika kitu mpaka uwe na uhakika wa soko wa unachowekeza.

Sasa hivi sioni tena wale ndugu zetu wa kware humu ndani na hii biashara tuitumie kama mfano wa kujifunza.Usiunge tu tela kufanya kitu kisa umeona watu wengi wanashabikia.
Mbarikiwe.

View attachment 264970
 
trei ya mayai ya kware yanaweza kuuzwa 4000/= na kware kwa 5,000/=.
punguzo la bei linaongeza watumiaji.
 
Nina shamba morogoro ila halitoshi kuuza.Nikisia wanaouza ntakujulisha,mwaka huu napumzika.mwaka jana ilikua hasara sana

Moro wilaya gani
na mimi moro nataka kulima vitunguu but sina wenyeji wataalamu
 
The higher the Supply kuliko demand is a recipe for disaster

Mayai haya ni chakula kama vyakula vingine na kwakweli kiuhalisia na yalivyozagaa nadhani bei ya kiuhalisia inabidi iwe kama buku tatu kwa tray ingawa sijajua cost of production kuona at what price mtu anabreak even
 
Moro wilaya gani
na mimi moro nataka kulima vitunguu but sina wenyeji wataalamu[/QUOTE

Ruaha mbuyuni.
Njoo utembee siku moja japo sidhani kama niko kwenye kundi la wataalamu wa kilimo,bado kuna mengi nahitaji kujifunza.Kunaitwa Malolo.
 
Back
Top Bottom