Kuna kipindi hili jukwaa lilikua limejaa habari ya Kware na mayai ya kware.Watu walikua wako moto kuingia kwenye hii biashara wakiamini ni fursa yakuwatoa kwenye umasikini.
Binafsi tokea hii kitu imeanza kuwa hot news sikua na imani nayo sababu hapakuonekana soko la uhakika.
Watanzania wenzangu naomba tujifunze kwamba haijalishi ni kiasi gani una kiu ya maendeleo,usiwekeze katika kitu mpaka uwe na uhakika wa soko wa unachowekeza.
Sasa hivi sioni tena wale ndugu zetu wa kware humu ndani na hii biashara tuitumie kama mfano wa kujifunza.Usiunge tu tela kufanya kitu kisa umeona watu wengi wanashabikia.
Mbarikiwe.