BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Bado sijaona mbwa wazuri kama
Germany Shepherd
Gray wolf
Belgian Tervuren
Germany Shepherd
Gray wolf
Belgian Tervuren
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimemcheki anafanania malinois
Maeneo Gani?kina mdau Mwanza anafuga gs lkn bei yake ni moto.
kiukweli ni mbwa wazuri sana
nianze na kuhasi, mbwa wengi baada ya kuhasiwa wakiwa wakubwa kama huyo wa kwako, hubadilika tabia eidha kuwa wakali kupitiliza au kuwa wapole kupitiliza.Asante! Naweza kumboresha zaidi kwa kufanya nn? Awe mkali zaidi, nguvu zaidi japo ukubwa naona bado anazidi kuwa mrefu tu na kichwa na mdomo vinazidi kuwa vikubwa sana.
Nini madhara ya kumhasi (castration) kwa mbwa ukiachana na suala la kuacha kuzalisha tena?
nitakutaftia namba kama uko siriaz, kuna mdau humu anaitwa @hybiscus nilimpaga namba kitambo alifanikiwa kufika[/QUKingYd poaa
Ukali kupitilizanianze na kuhasi, mbwa wengi baada ya kuhasiwa wakiwa wakubwa kama huyo wa kwako, hubadilika tabia eidha kuwa wakali kupitiliza au kuwa wapole kupitiliza.
Mafunzo
muda mzuri wa kuanza mafunzo ni miezi 4 hadi 6, haimaanishi akiwa mkubwa hafundishiki lkn muda mwafaka ni hiyo miezi.
Namna ya kufundisha ni kutokana na unahitaji awe je?
Pitia video youtube utajifunza mengi,
daah hapo kwa upande wangu umenena
Pamoja kakadaah hapo kwa upande wangu umenena
Asante kwa taarifa mkuuKaka Husky wapo moshi kwa natty dogs wanapatikana.
Ukihitaji mawasiliano yake nitakupa yupo vizuri sana, ana aina tofauti za mbwaAsante kwa taarifa mkuu
Nitakutafutahao mbwa walipigwa marufu nchi nyingi ninavyosikiaga, ni hatari sana.
Kuhusu kufuga koko ni hasara sana kwani huwezi hata kuuza akizaa.
Mimi nilianza kwa kufuga koko nikahamia German na belgian shephard sijawahi kujuta