Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Bado sijaona mbwa wazuri kama

Germany Shepherd
Gray wolf
Belgian Tervuren
 
Asante! Naweza kumboresha zaidi kwa kufanya nn? Awe mkali zaidi, nguvu zaidi japo ukubwa naona bado anazidi kuwa mrefu tu na kichwa na mdomo vinazidi kuwa vikubwa sana.
Nini madhara ya kumhasi (castration) kwa mbwa ukiachana na suala la kuacha kuzalisha tena?
nimemcheki anafanania malinois
 
Asante! Naweza kumboresha zaidi kwa kufanya nn? Awe mkali zaidi, nguvu zaidi japo ukubwa naona bado anazidi kuwa mrefu tu na kichwa na mdomo vinazidi kuwa vikubwa sana.
Nini madhara ya kumhasi (castration) kwa mbwa ukiachana na suala la kuacha kuzalisha tena?
nianze na kuhasi, mbwa wengi baada ya kuhasiwa wakiwa wakubwa kama huyo wa kwako, hubadilika tabia eidha kuwa wakali kupitiliza au kuwa wapole kupitiliza.

Mafunzo
muda mzuri wa kuanza mafunzo ni miezi 4 hadi 6, haimaanishi akiwa mkubwa hafundishiki lkn muda mwafaka ni hiyo miezi.
Namna ya kufundisha ni kutokana na unahitaji awe je?
Pitia video youtube utajifunza mengi,
 
Ukali kupitiliza
Je hawezi kuleta changamoto kwa familia ukiachana na mm mwenyewe ninae mhudumia, japo wanafamilia wanahudumia lkn kwa kiwango cha chini.

Upole
Hili siliombei kabisa kiukweli. Kwn niliamua kufuga mbwa baada ya kuibiwa tena mchanaaa kweupe karibia kila kitu vya ndani. Na hao mbwa wapo wawili. Ila jike sio aina hy ni mweupeeee peee!

Mafunzo
Nashukuru kwa hili nimekuwa namfunza mambo mengi mm mwenyewe na anaelewa na kushika mafunzo. Hili nilichojifunza mbwa muda wote anahitaji kupata walau session ya jambo jipya au kuremind baadhi ya mafunzo/amri kwa sauti/vitendo maalum
 
Malinois wetu mipakani na airport
Screenshot_20181007-153322.jpeg
 
hao mbwa walipigwa marufu nchi nyingi ninavyosikiaga, ni hatari sana.
Kuhusu kufuga koko ni hasara sana kwani huwezi hata kuuza akizaa.
Mimi nilianza kwa kufuga koko nikahamia German na belgian shephard sijawahi kujuta
Nitakutafuta
 
Back
Top Bottom