Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Naomba namba za simu za mfugaji mbwa mwanza pls
ninakutumia ya ya Tabora atakupa maelekezo ya Mwanza japo najua Mwanza jamaa anauza ghali sana
0752849850 Edwin, ukikwama nijulishe
 
kitoto cha miezi 2 cha mbwa 700,000 acha fix mkuu ,eti ndama 300,000 aseee wawapi hao ngombe mkubwa 500,000 ,hizi bei za wapi ndo watu wanasoma data za hivi wanakuja lia
 
kitoto cha miezi 2 cha mbwa 700,000 acha fix mkuu ,eti ndama 300,000 aseee wawapi hao ngombe mkubwa 500,000 ,hizi bei za wapi ndo watu wanasoma data za hivi wanakuja lia
angalia hapo
 
kitoto cha miezi 2 cha mbwa 700,000 acha fix mkuu ,eti ndama 300,000 aseee wawapi hao ngombe mkubwa 500,000 ,hizi bei za wapi ndo watu wanasoma data za hivi wanakuja lia
ndugu kuna kipindi unahitaji kuhoji kabla hujatoa hitimisho, huwezi kujua kila kitu, mimi nafuga ng'ombe wa kisasa na bei ya ndama mdogo kabisa kuanzia miezi 3 ni kati ya 250,000 hadi 350,000, hii inategemea na gredi ya ng'ombe.
kama umekulia kanda ya kati Singida, Dodoma, kanda ya ziwa huwezi kunielewa.
huko wanafuga ng'ombe wa kienyeji zaidi na bei ni sawa na bure hasa msimu wa kilimo.
Ninaongea ninachokifahamu na kukiishi.
kama unaswali karibu
 
Nahitaji paka wale wenye manyoya mengi(asili ya kizungu).

Nikipata mdogo itapendeza zaidi

Natanguliza shukran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…