Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Mi nafunga mbwa wa kiswahili na wako vzr Sana,kiulinzi ata adabu pia.nawapa huduma zote stahiki ikiwa chakula,chanjo zote,na kuoga kira jpili.kiukweli ulinzi tosha..
Hivi hawa wa kiswahili ni breed gani? Hamna aliefanya kautafiti tujue
 
M
Hivi hawa wa kiswahili ni breed gani? Hamna aliefanya kautafiti tujue
Mbwa wangu Ni chotara nataka nimpe mafunzo ya ulinzi ana umri wa miezi 6 naombeni procedures za kumpa mafunzo wakuu nipo Mwanza mjini
 
KWA USHAURI NA MAFUNZO BORA JUU YA UFUGAJI WA MBWA WA KISASA. TEMBELEA INSTAGRAM ACCOUNTI YENYE JINA LA @King_Dawgz
 
Mwanza mjini kuna jamaa mfugaji maarufu nimepoteza namba zake, huyu anajuana na wafundishaji wengi au fika kikosi cha mbwa na farasi
M
Mbwa wangu Ni chotara nataka nimpe mafunzo ya ulinzi ana umri wa miezi 6 naombeni procedures za kumpa mafunzo wakuu nipo Mwanza mjini
 
napenda mbwa sana but huyu hajawahi nivutia mkuu
unaweza wafuga aina zotehizo za mbwa..kwa mfano nina eneo kubwa sana naona mbwa wawili hawatoshi nahitaji mbwa kuanzia 6 kwenda mbele..

swali langu ni: naweza fuga aina tofauti za mbwa nikafuga German wawili,belgian tuveren wawili,nk yani nichanganye aina na wote niwafungulie eneo moja??

Kuna madhara ki afya na je wanapatana au ndio isije kua kama ya KUKU kudonoana maana hamna kitu sipendi kama kuona kidonda kwa mbwa au mnyama yeyote ana kidonda.
 
@Tundapori Huyo jamaa Tundapori ni mwalimu mzuri anaweza kutusaidia
 
Tundapori
 
MWe nimesoma sijaona aina ya mbwa wa kitanzania [emoji1] [emoji1] [emoji1] hawa asili yao wapi?
 
Huwapikiii uji uji wa nafaka na kuchanganya na maziwa na nyama
 
Dah KingY ulikosea sana kubadilisha avatar Picha yako tuliyokuzoea yani nimekuja kukumbuka kwenye huu uzi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…