Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Jamaa inaonekana hakuwa akijishughulisha nao kabisa, so, dog wslikuwa wanamuona kama intruder tu
 
Ipo siku nitafuga japo nitatafuta pure GS wawili dume na jike kwa bei yoyote
 
Akiwa mkubwa anakula kilo ngapi za nyama kwa siku?
 
Mara nyingi hatuwalishi nyama peke yake,vhuwa tunachanganya na chenga za mchele au hata uji mzito wenye mchanganyiko maalum
Akiwa mkubwa anakula kilo ngapi za nyama kwa siku?
 
Kesho kuna maonesho ya Mbwa Dar dog show. Yatafanyika Mtaa wa Kenyata kaunzia saa 2 asubuhi hadi 11. Mgeni rasmi Lugola
 
Mkuu naomba maelekezo zaidi
Kesho kuna maonesho ya Mbwa Dar dog show. Yatafanyika Mtaa wa Kenyata kaunzia saa 2 asubuhi hadi 11. Mgeni rasmi Lugola
 
Kuhusu Maonesho ya Mbwa Najua Tarehe na Mtaa utakaofanyika. Ni kwenye viwanja nyuma ya Makazi ya Balozi wa Marekani.
Ukipita nyumba ya MO DEWJI
 
Kazi moja wapo za mbwa/askari
 
Nikweli tulifanya Dog show jumamosi iliyopita, sasa tunajipanga juu ya usajili rasmi wa jumuia yetu ya ufugaji wa Mbwa maana kuna mambo mengi ili kuweza kufikia viwango vinavyojitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…