Powerpack 10kg ni tsh 90k na 20kg ni 170k.Hiyo power pack inauzwa bei gani mkuu na ujazo ni kiasi gani??
Pia naomba kujua ni ideal kwa mbwa wa umri gani?maana nataka nianze tena safari ya kufuga mbwa.
Pia naomba unisaidie kujua eti hv hz chanjo za mwanzo za mbwa kama Parvo na nyinginezo bei zake zikoje madukani huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran mkuu ngoja nitamwambia jamaa maana ninasubiria puppy wawili toka kwake hivyo natamani wapone ktk kipindi hiki wakiwa hawanyonyi kwa mama yao.Wakati unasubiria ushauri wa jamaa...
Mwambie huyo mshikaji achemshe sana hayo maziwa huwa yana minyoo sana vinginevyo anaweza kuwapoteza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah mkuu hiyo power pack naona kwangu ni heavy duty wala hata nisikusumbue mm bajeti yangu nikimpendelea sana mbwa nitamnunulia Superdog tu maana kwanza sina mbegu ya ukweli ya kuilisha kwa gharama kiasi hicho.Powerpack 10kg ni tsh 90k na 20kg ni 170k.
Kuna za umri wowote mkuu.
Labda unieleze uko wapi nikutumie contacts za wauzaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni hivyo sioushauri ununue piaAh mkuu hiyo power pack naona kwangu ni heavy duty wala hata nisikusumbue mm bajeti yangu nikimpendelea sana mbwa nitamnunulia Superdog tu maana kwanza sina mbegu ya ukweli ya kuilisha kwa gharama kiasi hicho.
Lakini pia sifugi kibiashara kwamba labda nitakuja ku cover hiyo cost kwenye bei nitakayouza hao mbwa ss why niingie kwenye gharama kali kiasi hicho??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu miaka ya nyuma kulikuwa na uzi flani wa Mbwa, michango yako ilionyesha wewe ni mtaalamu wa mbwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichogundua mbwa ni passion bila hivyo huwezi . My dog ukitaka ugomvi mkubwa na mimi mpige au mfokee nikuone . Bado mdogo ana six months now nasubiri afike 8 nimpeleke training, ninempata toka kwa mtu ambae ana gsd wawili ajabu huyu katoka golden gsd but nampenda thats why nimemuita DAZZLER.
Nilikua nampa maziwa ya ng'ombe leo nimepata jibu why alikua anaumwa sana maana ilifika kipindi mpaka kula nilikua namlisha kwa kijiko huku akiendelea na dozi, ila nilipoacha kumpa mazima na dozi ilipoisha amerecover sana kumbe ni cases za minyoo dah, alikua akiharisha na kutapika kapigwa dawa za minyoo plus za magonjwa mengine Dr wake anajua zaidi, ana card la matibabu hivyo trend yote naifuatisha.
Mazoezi kila siku 3 za kwenye wiki nafanya nae walking ya km 2 mpaka 3 pia usiku kila siku yuko loose kuzunguka ndani ya nyumba.
Mbwa ana raha yake sana, gsd anacheza na watoto safi tu . Hakika kwa mm nikikuta mtu anapiga mbwa roho inaniuma sana , hata barabarani naepuka sana kugonga mbwa sana sana sana .
Chakula nampa champdog asubuh then jioni anakula nyama nampikia na unga wa dona(namix) . Nyama hizi nimeweka order buchani huwa wanauza zile chenga wakikata na mashine wana ongeza na mafuta plus utumbo pia na stake chache bei chee sana ni tsh elf 2 tu kwa kg. Kama kuna maboresho zaidi naomba mnijuze , namtunza tu kwa kulinda familia basi sitaki hata kuzalisha na kuuza , nimemuweka na mwenzie wa kiswahili ili asiboreke
Few years from now you may wish you should have started today...
Hv training ya mbwa yaweza cost kiasi gani na inachukua muda gani??Nimpe nini zaidi kumboresha , very humble with kids ila kwa mbwa asiowajua au watu asiowajua hataki kabisa mazoea , ni mkali kwao sema bado hajui kung'ata anabweka tu View attachment 1430579View attachment 1430580View attachment 1430582
Few years from now you may wish you should have started today...
Ahsante sana sana sana hili la karoti na mboga mboga kuna mzungu nilikutana nae beach mbwa wake mkubwa sana halafu anamiezi sita tu, kumuuliza kwanini ndio akasema sababu anamlisha sana karoti na hoho. Thanks sanaChenga za nyama ni sawa ila kuna tatizo la mifupa midogo midogo ambayo mbwa anaweza imeza ikampa shida badae
Kwenye chakula jitahid ale usiku tu, pia siku nyingine waweza tumia dagaa pia badala ya nyama....karoti iliyo sagwa na mboga za majani vipande vidogo vidogo navyo mbwa hula... ukipata dog supplement itapendeza zaidi
Muhimu, hakikisha muda wote kuna maji bandani
Sent from my iPhone using JamiiForums
Training wako wengi inatokana na wewe uko mkoa gan, mfano mm niko Dar nina GS 3, Belgium Malinois 2, nina Pitnull....3 nishapeleka training na wana mafunzo ya ulinzi, utii na food refuse yaan hata ukampa nyama hali mpaka apewe na mwenyewe kqenye chombo chake tuuHv training ya mbwa yaweza cost kiasi gani na inachukua muda gani??
Nimepata somo kuhusu maziwa maana mm nilikuwa napenda sana kuwapa maziwa tena mabichi ila nimegundua kumbe kuna shida nyingi nilikuwa nasababisha kwa mbwa wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah safi kweli,yaani hao kuwaua uwapige risasi na sio kuwalisha sumu..Training wako wengi inatokana na wewe uko mkoa gan, mfano mm niko Dar nina GS 3, Belgium Malinois 2, nina Pitnull....3 nishapeleka training na wana mafunzo ya ulinzi, utii na food refuse yaan hata ukampa nyama hali mpaka apewe na mwenyewe kqenye chombo chake tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Training ni mwez mmoja lakin hapa sasa inategemeana na mbwa, mfano mbwa kama BM wana IQ kubwa hata week 3 tu kasha master, ila kuna mbwa unakuta ni Cross anaweza enda mpaka week 8 ndio ana master, gharama ni lak 5 kwa mbwaDah safi kweli,yaani hao kuwaua uwapige risasi na sio kuwalisha sumu..
Mkuu hizo training labda nikuulize pale mbwa anapoanza inaweza chukua muda gani hadi amalize??
Na ilikugharimu bei gani kwa mbwa mmoja?
Ila una mzigo mzito aisee mbwa 8 sijui wanakula bei gani kwa siku kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Training wako wengi inatokana na wewe uko mkoa gan, mfano mm niko Dar nina GS 3, Belgium Malinois 2, nina Pitnull....3 nishapeleka training na wana mafunzo ya ulinzi, utii na food refuse yaan hata ukampa nyama hali mpaka apewe na mwenyewe kqenye chombo chake tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa si ndo wale nawaona kwenye video za xxDobermann.. Nampenda sana huyu mbwa. Umbo lake tuView attachment 887984View attachment 887985
Hawa si ndo wale nawaona kwenye video za xx na wadadaDobermann.. Nampenda sana huyu mbwa. Umbo lake tuView attachment 887984View attachment 887985