Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

👍
 
Huyu dr anapatikana mkoa gani?
Yuko Arusha, ukitokea Town kuelekea Tengeru, ukifika Chama km1 kabla hujaingia Tengeru mkono wako wa Kushoto utaona bango limeandikwa Dr. Chuma.
Ni maarufu sana tu kwa wafugaji wengi kwani anayo maabara kubwa hapo hadi wanafunzi wa field kutoka vyuoni mikoa tofauti huja kufanya mazoezi kwake.
 
Thank you!
 
Kati ya RT na GS nani mkali zaidi hasa ktk ulinzi?

Wote wanafaa kwa ulinzi lkn RW ni hatari kama una watoto wadogo.
Hawa mbwa wana uchizi flani si ajabu akararua watoto lkn GS ni mbwa mmoja yuko very friendly na familia
 


Hawa nimewaona 88 Morogoro. Nimependa sana hawa wakubwa kama sijakosea ni Caucasian shepherds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…