Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado ni adimu sana bongo labda kutokana na kutokuwa na soko kubwaView attachment 2319312
View attachment 2319313
Hawa nimewaona 88 Morogoro. Nimependa sana hawa wakubwa kama sijakosea ni Caucasian shepherds
Yes nimeanza mkuu wanguKumbe nawe mfugaji ee
..ebhana nimeanza kufuga local breed vina miezi miwili nashauriwa nianze mafunzo wakiwa na miezi mingapi ili wawe serious maana saahizi wanaelewa kukaa chini tu mambo ya kunga sjui njoo hapa hawanisikilizi wanarukaruka tu. na chakula chao nawapa damu iliyochemshawa nachanganya nauji wa dona wenye samaki wadogo wadogo nipo mstari sahihi?View attachment 2319373View attachment 2319374View attachment 2319375
Kwanza nikupe hongera chief!
Tangazo limesomeka[emoji1787]Uzi upo kimya sana, Haya tupate tangazo kutoka kwa wadhamini.
View attachment 2424607
Habari wakuu!!
Na maswali kadhaa ya kuuliza kuhusu mbwa!
1.Mimi ni mpangaji mahali ninapoishi wanafuga, mwanzoni wakati nahaamia huyu mbwa alikuwa ananibwekea ila mke wangu alikuwa habweki kwake, yapata miezi 4 sasa naona nami ameacha kunibwekea, mda wote huwa yupo kwenye kamba, Je, Ikitokea siku hakiwa hajafungwa anaweza kunishambulia??? Mbwa naona Ni jamii ya GS.
2. Mbwa hula nyama tu, Je, Huwezi kuwapa chakula kama Ugali au jamii nyingine ambayo ni nafuu???
3. Mbwa kubweka ovyo iwe mchana au usiku, milio tofauti tofauti, kama Kama kwa kulia hivi, Kubweka bweka nk, hii je ni hali ya kawaida??
4. Huyu mbwa wa hapa, akianza kubweka ovyo, mara nyingine ukata kamba, au uvunja mlango na akitoka hapo ukimbilia kwa jike la Nyumba za jirani maana kuna watu kama wawili nao wanaumbwa karibu, Hii imekaaje?
5. Kuna rafiki yangu huko kitunda wana mabanda ya kuku makubwa kwa hivyo, wanafuga mbwa kati ya 20-30 kwa hesabu ya haraka haraka, na wanaeneo la wazi karibia heka nzima, Ila wale mbwa shambulio lao kwa mtu huwa ni kumvungua nguo, kuzichana chana, na kumvuta kumburuza ila hawamng'ati, Hii imekaaje? Je, ni mafunzo???
NaamUzi upo kimya sana, Haya tupate tangazo kutoka kwa wadhamini.
View attachment 2424607
Jitahidi usimwogope mjengee urafiki na usome post #671Habari wakuu!!
Na maswali kadhaa ya kuuliza kuhusu mbwa!
1.Mimi ni mpangaji mahali ninapoishi wanafuga, mwanzoni wakati nahaamia huyu mbwa alikuwa ananibwekea ila mke wangu alikuwa habweki kwake, yapata miezi 4 sasa naona nami ameacha kunibwekea, mda wote huwa yupo kwenye kamba, Je, Ikitokea siku hakiwa hajafungwa anaweza kunishambulia??? Mbwa naona Ni jamii ya GS.
2. Mbwa hula nyama tu, Je, Huwezi kuwapa chakula kama Ugali au jamii nyingine ambayo ni nafuu???
3. Mbwa kubweka ovyo iwe mchana au usiku, milio tofauti tofauti, kama Kama kwa kulia hivi, Kubweka bweka nk, hii je ni hali ya kawaida??
4. Huyu mbwa wa hapa, akianza kubweka ovyo, mara nyingine ukata kamba, au uvunja mlango na akitoka hapo ukimbilia kwa jike la Nyumba za jirani maana kuna watu kama wawili nao wanaumbwa karibu, Hii imekaaje?
5. Kuna rafiki yangu huko kitunda wana mabanda ya kuku makubwa kwa hivyo, wanafuga mbwa kati ya 20-30 kwa hesabu ya haraka haraka, na wanaeneo la wazi karibia heka nzima, Ila wale mbwa shambulio lao kwa mtu huwa ni kumvungua nguo, kuzichana chana, na kumvuta kumburuza ila hawamng'ati, Hii imekaaje? Je, ni mafunzo???
Huyu ni mbwa au kituko [emoji23][emoji23][emoji23] mimi hata nikiwa jambazi napiga nae selfieAfghan houndView attachment 888652
dah huyu yuko vzuri mnoAlaskan MalamuteView attachment 888026View attachment 888027
Yuko poa sanaAlaskan MalamuteView attachment 888026View attachment 888027