Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Habari wakuu!!
Na maswali kadhaa ya kuuliza kuhusu mbwa!

1.Mimi ni mpangaji mahali ninapoishi wanafuga, mwanzoni wakati nahaamia huyu mbwa alikuwa ananibwekea ila mke wangu alikuwa habweki kwake, yapata miezi 4 sasa naona nami ameacha kunibwekea, mda wote huwa yupo kwenye kamba, Je, Ikitokea siku hakiwa hajafungwa anaweza kunishambulia??? Mbwa naona Ni jamii ya GS.

2. Mbwa hula nyama tu, Je, Huwezi kuwapa chakula kama Ugali au jamii nyingine ambayo ni nafuu???

3. Mbwa kubweka ovyo iwe mchana au usiku, milio tofauti tofauti, kama Kama kwa kulia hivi, Kubweka bweka nk, hii je ni hali ya kawaida??

4. Huyu mbwa wa hapa, akianza kubweka ovyo, mara nyingine ukata kamba, au uvunja mlango na akitoka hapo ukimbilia kwa jike la Nyumba za jirani maana kuna watu kama wawili nao wanaumbwa karibu, Hii imekaaje?

5. Kuna rafiki yangu huko kitunda wana mabanda ya kuku makubwa kwa hivyo, wanafuga mbwa kati ya 20-30 kwa hesabu ya haraka haraka, na wanaeneo la wazi karibia heka nzima, Ila wale mbwa shambulio lao kwa mtu huwa ni kumvungua nguo, kuzichana chana, na kumvuta kumburuza ila hawamng'ati, Hii imekaaje? Je, ni mafunzo???
 
ebhana nimeanza kufuga local breed vina miezi miwili nashauriwa nianze mafunzo wakiwa na miezi mingapi ili wawe serious maana saahizi wanaelewa kukaa chini tu mambo ya kunga sjui njoo hapa hawanisikilizi wanarukaruka tu. na chakula chao nawapa damu iliyochemshawa nachanganya nauji wa dona wenye samaki wadogo wadogo nipo mstari sahihi?View attachment 2319373View attachment 2319374
IMG_20220707_180108.jpg
 
Kwanza nikupe hongera chief!

Upo kwenye right track, umesema wana miezi miwili tayari, kwenye picha naona wanakuja vizuri (kwa local breed).

Zingatia suala la chanjo za Parvo na dawa za minyoo, waogeshe kwa dawa kuwakinga na magonjwa, boresha msosi wao kwa supplements za dukani kidogo hali ikiruhusu.

Suala la mafunzo kwa mbwa inategemea na wewe mwenyewe mmiliki na matumizi uliyokusudia kwa mbwa wako, bila shaka umelenga ulinzi.

Kwa umri huo wa wiki nane unafaa kabisa, changamoto kwa local breeds ni kwamba sio (intelligent sana), lakini basic commands wanashika.

Mfano, kwa mimi nikiwa na puppy mafunzo huanza pindi aachapo kunyonya tu, kwenye box la kulalia, natenga nusu blanket la kulalia na nusu magazeti kwa ajili ya kujisaidia, hivyo basi mbwa hujua kabisa hapaswi kujisaidia anapolala na tabia hii huwa carried on into the kennel pindi akuapo.

Wakiwa wadogo, wa-condition kuzoea majukumu yao, muda maalum wa kula, sehemu maalum ya kula, muda maalum wa kuwafungulia, muda maalum wa kuingia bandani, wazoee perimeter yao ya ulinzi, kutolishwa na kila mtu.
 
Habari wakuu!!
Na maswali kadhaa ya kuuliza kuhusu mbwa!

1.Mimi ni mpangaji mahali ninapoishi wanafuga, mwanzoni wakati nahaamia huyu mbwa alikuwa ananibwekea ila mke wangu alikuwa habweki kwake, yapata miezi 4 sasa naona nami ameacha kunibwekea, mda wote huwa yupo kwenye kamba, Je, Ikitokea siku hakiwa hajafungwa anaweza kunishambulia??? Mbwa naona Ni jamii ya GS.

2. Mbwa hula nyama tu, Je, Huwezi kuwapa chakula kama Ugali au jamii nyingine ambayo ni nafuu???

3. Mbwa kubweka ovyo iwe mchana au usiku, milio tofauti tofauti, kama Kama kwa kulia hivi, Kubweka bweka nk, hii je ni hali ya kawaida??

4. Huyu mbwa wa hapa, akianza kubweka ovyo, mara nyingine ukata kamba, au uvunja mlango na akitoka hapo ukimbilia kwa jike la Nyumba za jirani maana kuna watu kama wawili nao wanaumbwa karibu, Hii imekaaje?

5. Kuna rafiki yangu huko kitunda wana mabanda ya kuku makubwa kwa hivyo, wanafuga mbwa kati ya 20-30 kwa hesabu ya haraka haraka, na wanaeneo la wazi karibia heka nzima, Ila wale mbwa shambulio lao kwa mtu huwa ni kumvungua nguo, kuzichana chana, na kumvuta kumburuza ila hawamng'ati, Hii imekaaje? Je, ni mafunzo???

Kwanza sio jambo la kiungwana mbwa kushinda kwenye kamba, kwa kufanya hivyo mbwa ata develop tabia za ajabu ajabu kama kuwa mkali kupitiliza au hata kuwa mjinga mjinga.
Yafaa mbwa afungiwe ndani ya banda mchana na usiku afunguliwe.

Pili. Mbwa hubwekea mtu mwoga na anayepiga mbwa hovyo hovyo.
Hapo kung'atwa ni nje nje.

Ukiwa huogopi mbwa wala hakubwekei.

Kuna kitendo cha kiurafiki cha kumwonyesha mbwa nacho ni kumpa mkono yaani geuza kiganja cha mkono/ mgongo wa mkono mpe anuse yaani within a second tayari mbwa ni rafiki yako...hii tumia zaidi kwa mbwa wa kizungu/kisasa na sio koko anaweza kupita nao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Habari wakuu!!
Na maswali kadhaa ya kuuliza kuhusu mbwa!

1.Mimi ni mpangaji mahali ninapoishi wanafuga, mwanzoni wakati nahaamia huyu mbwa alikuwa ananibwekea ila mke wangu alikuwa habweki kwake, yapata miezi 4 sasa naona nami ameacha kunibwekea, mda wote huwa yupo kwenye kamba, Je, Ikitokea siku hakiwa hajafungwa anaweza kunishambulia??? Mbwa naona Ni jamii ya GS.

2. Mbwa hula nyama tu, Je, Huwezi kuwapa chakula kama Ugali au jamii nyingine ambayo ni nafuu???

3. Mbwa kubweka ovyo iwe mchana au usiku, milio tofauti tofauti, kama Kama kwa kulia hivi, Kubweka bweka nk, hii je ni hali ya kawaida??

4. Huyu mbwa wa hapa, akianza kubweka ovyo, mara nyingine ukata kamba, au uvunja mlango na akitoka hapo ukimbilia kwa jike la Nyumba za jirani maana kuna watu kama wawili nao wanaumbwa karibu, Hii imekaaje?

5. Kuna rafiki yangu huko kitunda wana mabanda ya kuku makubwa kwa hivyo, wanafuga mbwa kati ya 20-30 kwa hesabu ya haraka haraka, na wanaeneo la wazi karibia heka nzima, Ila wale mbwa shambulio lao kwa mtu huwa ni kumvungua nguo, kuzichana chana, na kumvuta kumburuza ila hawamng'ati, Hii imekaaje? Je, ni mafunzo???
Jitahidi usimwogope mjengee urafiki na usome post #671
 
Back
Top Bottom