Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Nilipewa puppy na rafiki yangu ili nimfuge sasa ile nimefika nae home usiku akalala

Asubuhi naamka hayupo kumbe mdogo wangu aliacha geti wazi puppy akatoka watu wakapita nae [emoji3]
Wahuni sio watu wazuri 😂
 
Je sisi tunaofuga hii mijibwa koko ya kwetu uswahilini ambayo inashinda huko majalalani kula mavi ya walevi
Tunakomenti humu humu?
 
Nikitaka kufuga mbwa nianze na yupi?

nataka mbwa msafi mwenye sura nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…