Tundapori
JF-Expert Member
- Aug 12, 2007
- 650
- 276
Ndiyo natafuta Malinois wazuri na wakubwa.@Tundapori unahitaji kuongeza Malinois?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo natafuta Malinois wazuri na wakubwa.@Tundapori unahitaji kuongeza Malinois?
Makuu huyu siyo Malinois (Malinwaa) kabisa nakuhakikishia.Vp huyu ni "Malinwaa"? Ana umri wa miezi 7 na nusu (kadi ya usajili na tiba). Maana nilimnunua tu 'mahala' akiwa na miezi miwili nikijua ni ni GS! Ila kwa maelezo yenu humu naona ni 'Malinwaaa'. (Sio mtaalam). View attachment 889516
Makuu huyu siyo Malinois (Malinwaa) kabisa nakuhakikishia.
mkuu nitajaribu kuulizia, kuna mfugaji flani alikuwa nao wakubwa mno, bahati mbaya alifariki na mradi kuyumba
Na wamasai wafanye niniWakuu fugeni ng'ombe mpate kula nyama na masiwa
Belgian shepherds sio wakubwa kiivo, wana umbo dogo hata kuliko GSD, natafakari hapo uliposema "wakubwa mno".mkuu nitajaribu kuulizia, kuna mfugaji flani alikuwa nao wakubwa mno, bahati mbaya alifariki na mradi kuyumba
mkuu unao Belgian tayari au unaanza moja
bro hongera sana, naomba utupie angalau vipicha mkuu
Belgian shepherds sio wakubwa kiivo, wana umbo dogo hata kuliko GSD, natafakari hapo uliposema "wakubwa mno".
ahaa kumbe!Uko right kabisa mkuu ila Belgian Malinois (BM) wanavumilia mikikimikiki na dhoruba.
Hawachoki kama GSD.
Tofauti kubwa ya BM na GSD ni umbile zaidi. Na kwa familia yenye watoto GSD wanafaa zaidi kuliko BM.
BM wanapenda kupigishwa mazoezi na mituringa mikali na ukifunga BM uwe mtu very active kwa mazoezi. Wasipopata mazoezi makali wanakuwa vichaa kabisa.