Wafukuzwa kazi baada ya kufumwa wakifanya mapenzi ofisini

Tunasubiri toleo lijalo lenge kichwa cha habari "Waliofumaniwa waamua kuoana"
Hapa tujiandae kwa popcorn; Telemundo in the house: maana baada ya kuoana, watoto....😉
 
Naolewa kesho
 
mmmmmmh.....nitaoa kwel kwa staili hii.....yaya gete
 
Maskiin ona sasa yamewakuta! Tamaa imewaponza!
 
Love is sweet love is poison.
 
Ukitaka mema tenda mema na ukitaka ubaya utafika mwisho wa ubaya nao utakugeuka.mapenzi we acha tu.
 
Huyo aliyeachika kama atahitaji mfariji nipo kwaajili yake.

Huyo atakua mwanamke mwema kabisa mbeleni maana kesha umwa na nyoka....uzuri bosi wenu hakuondoka nayo na pia mmewe zilipenda hajailock....namkaribisha kwa mikono miwili maana hajaua na huenda alitobgozwa tu.

Pia lazima atakua mzuri au mtam ndio maana anagombaniwa

ukienda kumuona hapo hosipitali, tafadhari nenda kamwambie kuna mfariji toka jf anakusubiri kwa hamu zote kama ataridhia kuja kuungana na mie tumalizie maisha yaliyobaki.
 
Utusamehe makosa yetu...
 
Wewe sio mzinzi? Au huingii kwenye ndo?

Sheikh kipozeo alisema 'mwanamke 1 ni mamaako tu, wengine wote hawawi1'
 
Nitakuja kugombea hio nafasi iliyoachwa na bosi wako, nahitaji ushirikiano wako kama ulioleta hapa jamvini.
 
Roho yako kwatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…