Wafukuzwa kazi baada ya kufumwa wakifanya mapenzi ofisini

Hahahaha! Sawa mtembea majalalani aka kiotezi..mfupa uliomshinda fisi wewe utauweza?

nami ntakula sehem yangu...kama kuna itakayo nishida na kubaki sio mbaya...itahifadhiwa ije kugunduliwa baadae kama oldupai.
 
HAKI ZA BINADAMU PAMOJA NA BABA MBOWE INGILIA KATI HAKI ITENDEKE.

Wakati wakizini hawakujua Hilo la haki za binadamu? Msipotoshe wayu kwa ujinga WA haki za binadamu pumba tupu, ngoja nikachunge tu
 
Kwa kawaida kanuni ya dhambi ina multplier effect. Madhara ya dhambi waliyoitenda yataendelea kujiongeza tena na tena na yanaweza wafikia hata watoto wao wasiohusika, Njia pekee ya kuvunja multiplier effect isiendelee ni toba kubwa na kurudi kwa Mwenyezi MUNGU moja kwa moja. Watu wengi wanafanya dhambi kwa makusudi lkn hawajui madhara yake yanakwenda mpaka wapi, lau akili zetu zingefunuliwa tukaona madhara ya dhambi tulizozitenda na jinsi zilivyosababisha kilio kikubwa kwa jamii inayotuzunguka, Naamini tungelia kilio kikuu tukifanya toba
 
Umenigusa sana TOBA hufuta madhambi yote.
 
hadithi njoo uongo njoo utamu kolea siku hizi yule mtunzi wa kiu irene ndauka kahamia huku.
 
Ushauri mzuri sana lakini ofisini ni sehemu ya kazi sio kufanya mapenzi wangemaliza tu kazi then wakatafuta gest house wakafanya yao na hivi vimini wanawake wanavyovaa ndio kabisa ndoa hazitakua salama
Kanuni ya dhambi inafanya kazi popote pale hata mkiwa wawili tu mpo kwenye boti katikati ya bahari na hakuna aliyewaona.
 
Hata hivyo huo uzi wako wa "afumaniwa akifanya mapenzi Ofisini" naona haupo. Leta link kwa wale ambao hawajauona
 
Ndio maana mnafeli kwa upumbavu wenu, nimesema mbea sijasema mmbeya! Mjifunze kucheza kutokana na tune!
Mbona umekwenda mbali sana, mpumbavu unamjua wewe? Muungwana huwa hatukani hadharani by the way nimeshakupuuza
 
Inaonyesha hapo Jirani hakuna hata nyumba za kufanyia zinaa, mpaka wanafanyia ofisini....!.
 
jamani analia tukio la wawili lilivovuruga watu...ndoa wake zao waume zao hata production ofisini........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…