Wafungaji wa mfumo wa gas asilia (CNG) kwenye magari ya petrol na diesel

Mjuzi Wenu

Senior Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
108
Reaction score
108
Kutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol

Gas fuel ina gharama nafuu kwa kulinganisha petrol na diesel, kwa kutumia gas fuel system unaweza kupunguza gharam za manunuzi ya nishati kwa 60%-70%

Gharama zetu ni nafuu na hutumia muda wa masaa 4-8 kwa kufunya installation ya mfumo na kufanya diagnosis kwa mfumo wote ili kukamilika na kufanya kazi kwa ufasaha

Tupo katika chuo cha usafirishaji yaani NIT mkabala na kiwanda cha URAFIKI TEXTILE INDUSTRY

SIMU; 0692235221

KARIBU
 
Fungueni matawi nchi nzima
 
Tatizo huduma ya kujaza gesi ipo dar tu, fungueni matawi mikoanikwa
Tatizo huduma ya kujaza gesi ipo dar tu, fungueni matawi mikoani
Kinachofanya huduma hii iwe ndani ya Dar ni kutokana na kutokuwepo kwa vituo vya ujazaji gasi asilia mikoani pia serikali ipo katika mchakato wa kuongeza vituo mikoani hivyo tutafika 🙏
 
Kuna uwezekano kuweka huo mfumo kwenye bajaj??
TVs??

Kama inawezekana, naomba majibu tafadhali.
 
Jamani, hakuna tusi linaloumiza Kama la mama, mi nilivyosoma nguvu Sina, wanawake, wamama tunatukanwa Sana.[emoji17]
 
Back
Top Bottom