Mjuzi Wenu
Senior Member
- Nov 18, 2017
- 108
- 108
- Thread starter
- #21
hakika ila mtusameh sana mama zetu 🙏Jamani, hakuna tusi linaloumiza Kama la mama, mi nilivyosoma nguvu Sina, wanawake, wamama tunatukanwa Sana.[emoji17]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakika ila mtusameh sana mama zetu 🙏Jamani, hakuna tusi linaloumiza Kama la mama, mi nilivyosoma nguvu Sina, wanawake, wamama tunatukanwa Sana.[emoji17]
gharama ipo juu kutokana na gahrama ya vifaa ipo juu mfano vifaa vingi vinaanzia 1.6M hivyo imepelekea gharama kuwa juu kwa ujumla ukizingatia ufungaji wa mfumo huu unafungwa na mtu alie bobea katika mfumo wa engine ili ulaji wa gesi uwe wa kiwango cha chini kama ilivyo kusudiwa. 🙏Huu mfumo ni mzuri,
Sema gharama zenu ziko juu sana unnecessarily. Yaan haieleweki ukubwa wa Bei ni ule mtungi, pipes au ile labor charge.
Lakin kama mngezingatia bei iendane na uhalisia wa gharama za kufunga basi wengi wangefunga huu mfumo na mgepata wateja wengi zaidi.
Ila tunakoelekea nina uhakika market forces zitaji adjust zenyewe na bei itakuja kua kwenye uhalisia wake
Hapa kama umepiga siasa flan hivi. Tuwe wakweli tu, 1.6mil ya vifaa ni ule mtungi, pipes zinazopeleka gesi mbele au nini mnachoweka kule mbele kifanye bei ifike huko?gharama ipo juu kutokana na gahrama ya vifaa ipo juu mfano vifaa vingi vinaanzia 1.6M hivyo imepelekea gharama kuwa juu kwa ujumla ukizingatia ufungaji wa mfumo huu unafungwa na mtu alie bobea katika mfumo wa engine ili ulaji wa gesi uwe wa kiwango cha chini kama ilivyo kusudiwa. 🙏
Hapa kama umepiga siasa flan hivi. Tuwe wakweli tu, 1.6mil ya vifaa ni ule mtungi, pipes zinazopeleka gesi mbele au nini mnachoweka kule mbele kifanye bei ifike huko?
Kwani mkifunga mfumo wa gesi mnabadili ECU na throttle body?serikali ilishatoa ufafanuzi kuwa vifaa vya mfumo wa gesi asilia vina gharama kubwa kwakuwa vifaa hivyo avina msamaa wa kodi pindi viagizwapo
pia system za magari hasa katika mfumo wa engine vina gharama kubwa.
mfano, ECU, common rail, coil, throtle body na vinginevyo vina gharam labda uwe mgeni kwenye magari na hata upande wa gesi tunafunga system yake ya kujitegemea
nawasilisha
Kwenye crown mnafungaKutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol
Gas fuel ina gharama nafuu kwa kulinganisha petrol na diesel, kwa kutumia gas fuel system unaweza kupunguza gharam za manunuzi ya nishati kwa 60%-70%
Gharama zetu ni nafuu na hutumia muda wa masaa 4-8 kwa kufunya installation ya mfumo na kufanya diagnosis kwa mfumo wote ili kukamilika na kufanya kazi kwa ufasaha
Tupo katika chuo cha usafirishaji yaani NIT mkabala na kiwanda cha URAFIKI TEXTILE INDUSTRY
SIMU; 0692235221
KARIBU
CNG ikifungwa kwenye gari inafungwa na ECU yake na kila kitu chakeKwani mkifunga mfumo wa gesi mnabadili ECU na throttle body?
Sisi raia tunaona kama Serikali inalinda biashara za wenye vituo vya mafuta. Nchi hii ni moja kama huduma fulani ikianzishwa isiwe Dar tu, mbona kama tozo ikianzishwa ni nchi nzima siyo kwa mafungu. Kuna makampuni yapo duniani wakitangaziwa tenda watakuja kutufungia mifumo ya gas-Dunia ni kijiji siku hizi.Kinachofanya huduma hii iwe ndani ya Dar ni kutokana na kutokuwepo kwa vituo vya ujazaji gasi asilia mikoani pia serikali ipo katika mchakato wa kuongeza vituo mikoani hivyo tutafika 🙏
Nataka ajibu mtoa mada wewe kaa pembeni
Acha kiherehere
Gari ya cc 200 na cc 650 zote sitaenda 20km kwa 1kg?Kikawaida gari ina uwezo wa kutumia 1kg kutembea 20km
Pia mtungi wa 15kg unajazwa kwa gharama ya 22,500 tu!
Kutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol
Gas fuel ina gharama nafuu kwa kulinganisha petrol na diesel, kwa kutumia gas fuel system unaweza kupunguza gharam za manunuzi ya nishati kwa 60%-70%
Gharama zetu ni nafuu na hutumia muda wa masaa 4-8 kwa kufunya installation ya mfumo na kufanya diagnosis kwa mfumo wote ili kukamilika na kufanya kazi kwa ufasaha
Tupo katika chuo cha usafirishaji yaani NIT mkabala na kiwanda cha URAFIKI TEXTILE INDUSTRY
SIMU; 0692235221
KARIBU
Weka bei straight away. Binafsi, naogopa sana wasioweka bei badala yake huweka za simu. Weka hata range ya bei minimum to maximumKutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol
Gas fuel ina gharama nafuu kwa kulinganisha petrol na diesel, kwa kutumia gas fuel system unaweza kupunguza gharam za manunuzi ya nishati kwa 60%-70%
Gharama zetu ni nafuu na hutumia muda wa masaa 4-8 kwa kufunya installation ya mfumo na kufanya diagnosis kwa mfumo wote ili kukamilika na kufanya kazi kwa ufasaha
Tupo katika chuo cha usafirishaji yaani NIT mkabala na kiwanda cha URAFIKI TEXTILE INDUSTRY
SIMU; 0692235221
KARIBU
Ni mwaka sasa na miezi 5 tangu uliposema hili.Kinachofanya huduma hii iwe ndani ya Dar ni kutokana na kutokuwepo kwa vituo vya ujazaji gasi asilia mikoani pia serikali ipo katika mchakato wa kuongeza vituo mikoani hivyo tutafika 🙏
Aisee hii mbona imekaa poa sanaKikawaida gari ina uwezo wa kutumia 1kg kutembea 20km
Pia mtungi wa 15kg unajazwa kwa gharama ya 22,500 tu!