Mjuzi Wenu
Senior Member
- Nov 18, 2017
- 108
- 108
Fungueni matawi nchi nzimaKutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol
Gas fuel ina gharama nafuu kwa kulinganisha petrol na diesel, kwa kutumia gas fuel system unaweza kupunguza gharam za manunuzi ya nishati kwa 60%-70%
Gharama zetu ni nafuu na hutumia muda wa masaa 4-8 kwa kufunya installation ya mfumo na kufanya diagnosis kwa mfumo wote ili kukamilika na kufanya kazi kwa ufasaha
Tupo katika chuo cha usafirishaji yaani NIT mkabala na kiwanda cha URAFIKI TEXTILE INDUSTRY
SIMU; 0692235221
KARIBU
Tatizo huduma ya kujaza gesi ipo dar tu, fungueni matawi mikoanikwa
Kinachofanya huduma hii iwe ndani ya Dar ni kutokana na kutokuwepo kwa vituo vya ujazaji gasi asilia mikoani pia serikali ipo katika mchakato wa kuongeza vituo mikoani hivyo tutafika 🙏Tatizo huduma ya kujaza gesi ipo dar tu, fungueni matawi mikoani
Serikali ipo katika mchakato wa kuongeza vituo vya kujaza gesi asilia hivyo tutafikaFungueni matawi nchi nzima
UpoKuna uwezekano kuweka huo mfumo kwenye bajaj??
TVs??
Kama inawezekana, naomba majibu tafadhali.
Nataka ajibu mtoa mada wewe kaa pembeni
Qyuma la mama yakoNataka ajibu mtoa mada wewe kaa pembeni
Acha kiherehere
yah inawezekana bossKuna uwezekano kuweka huo mfumo kwenye bajaj??
TVs??
Kama inawezekana, naomba majibu tafadhali.
lugha za aina hiyo si nzuri, tufocus katika mada husikaQyuma la mama yako
Uko sahihi kabisa Mkuu Wangulugha za aina hiyo si nzuri, tufocus katika mada husika
sawa karibu tukuhudumieUko sahihi kabisa Mkuu Wangu
Kaanza uswahili Huyo Choko.
Ntafikasawa karibu tukuhudumie
Kwa bajaji ina gharimu pesa kiasi gani?yah inawezekana boss
Siwezi kukujibu Kwa matusi tena ntakua naharibu Uzi wa mtoa mada.Msenge wewe kwenda huko, acha kushobokea wanaume, like ya nini sasa?
Nyoko wewe
Kwa bajaji ina gharimu pesa kiasi gani?inategemea mkuu na ukubwa wa mtungi unaotaka kufunga ila inaanzia 1M
Shurani sana kiongoziSiwezi kukujibu Kwa matusi tena ntakua naharibu Uzi wa mtoa mada.