Mjuzi Wenu
Senior Member
- Nov 18, 2017
- 108
- 108
Shukrani karibuHongera sana sana.
Shukrani karibuHongereni Sana
1. Gharama za kufunga mfumo wa gas kwa gari aina ya Toyota Harrier (model ya kati/chogo) shilingi ngapi?Kutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol
Gas fuel ina gharama nafuu kwa kulinganisha petrol na diesel, kwa kutumia gas fuel system unaweza kupunguza gharam za manunuzi ya nishati kwa 60%-70%
Gharama zetu ni nafuu na hutumia muda wa masaa 3-4 kwa kufunya installation ya mfumo na kufanya diagnosis kwa mfumo wote ili kukamilika na kufanya kazi kwa ufasaha
Tupo katika chuo cha usafirishaji yaani NIT mkabala na kiwanda cha URAFIKI TEXTILE INDUSTRY
SIMU; 0692235221
KARIBU
gharama inategemeana na aina ya gari pia ukubwa wa mtungi kulingana na mahitaji ya mteja husika ila kwa upande wa harrier ghalama zake zinaanzia 2.5M1. Gharama za kufunga mfumo wa gas kwa gari aina ya Toyota Harrier (model ya kati/chogo) shilingi ngapi?
2. Mfumo huo unafanyiwa service kila baada ya muda/kilomita ngapi?
Nafuu kiasi gani?Kutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol
Gas fuel ina gharama nafuu kwa kulinganisha petrol na diesel, kwa kutumia gas fuel system unaweza kupunguza gharam za manunuzi ya nishati kwa 60%-70%
Gharama zetu ni nafuu na hutumia muda wa masaa 3-4 kwa kufunya installation ya mfumo na kufanya diagnosis kwa mfumo wote ili kukamilika na kufanya kazi kwa ufasaha
Tupo katika chuo cha usafirishaji yaani NIT mkabala na kiwanda cha URAFIKI TEXTILE INDUSTRY
SIMU; 0692235221
KARIBU
Gharama za kufunga mfumo huo pekee, kwa wale wenye IST na safari za 20km kwa siku, siku zote za kazi kwa mwaka, itakuwa ni sawa na gharama ya Petrol ya mwaka mzima!
Service na kujaza gas, inakuwa juu ya hapo sio? Kwahiyo, hamna hamna, faida utaanza kuiona mwaka wa pili wa matumizi
Nina coaster ya diesel, nipe mahesabugharama inategemeana na aina ya gari pia ukubwa wa mtungi kulingana na mahitaji ya mteja husika ila kwa upande wa harrier ghalama zake zinaanzia 2.5M
yaani vifaa ni 2M na ufundi ni Laki tano
pia mfumo wa gesi yaan CNG ni fuel safi compared to Diesel and petrol ila tunajua kuwa upande wa petrol na diesel unashauliwa kufanya service kuanzia 3000-5000Km ila katika mfumo wa gesi unaanzia 9000Km
1kg ya gesi inaweza kutembea hadi 20Km. ๐
Nafuu kiasi gani?
Wekeni bei ha
bei hazilingani kwa mfano hapo juu gari ya harrier nimemuekea bei ila wew ujaweka aina ya gari ila unataka beiNafuu kiasi gani?
Wekeni bei hapa
kwa coaster ni 3.5M mana engine zake nyingi ni 1HZ 6 cylinderNina coaster ya diesel, nipe mahesabu
Ungeweka mifano hata ya gari 3 hivi.bei hazilingani kwa mfano hapo juu gari ya harrier nimemuekea bei ila wew ujaweka aina ya gari ila unataka bei
hii mifumo unadesign si kwamba kila kifaa kitafit katika kila aina ya gari ni lazima ukae chini na ufanye calculation as automobile engineer kujuwa kifaa kipi kitafit katika gari husika na mwisho unaingiza data kwenye computer kuona kama ratio imekaa sawa ( air fuel ratio)
Ghalam kubwa ipo kwenye vifaa kiujumla serikali wanasem vifaa vyake havina msamaa wa kodi na ndio maana bei ya vifaa ipo juu sana ila kiukwel serikali hawataki watu wengi watumie mfumo wa gesi na ndio maana ukiambiwa bei ya vifaa unawez ukaacha kabisa2.5 mbona nyingi sana? Yani masaa matatu tu unachukua 2.5 kweli! Hivi mnafikiri hela za kuokota tu
mtungi wa 15kg kujaza ni 22,500Kwaiyo mtungi una kaa kwenye buti .ai haribu muonekano wa gari langu LC 300 Zx
bei za jumla yaan vifaa n ufungaji kulingan na aina ya gariUngeweka mifano hata ya gari 3 hivi.
1. Ist
2. Subaru/carina
3. Harrier..tayari
4. Prado
5. Nissan patrol...eg..magari ya kale hivi