Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hapa nimekusomabei za jumla yaan vifaa n ufungaji kulingan na aina ya gari
IST-2.3M
Carina-2.3M
Harrier-2.5M
Prado-3.5M
Nissan patrol-3.5M
Karibu tukuhudumie 0692235221 🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nimekusomabei za jumla yaan vifaa n ufungaji kulingan na aina ya gari
IST-2.3M
Carina-2.3M
Harrier-2.5M
Prado-3.5M
Nissan patrol-3.5M
Karibu tukuhudumie 0692235221 🙏
shukrani boss karibu sanaHapa nimekusoma
Hii bado ipo?Kutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol
Gas fuel ina gharama nafuu kwa kulinganisha petrol na diesel, kwa kutumia gas fuel system unaweza kupunguza gharam za manunuzi ya nishati kwa 60%-70%
Gharama zetu ni nafuu na hutumia muda wa masaa 3-6 kwa kufunya installation ya mfumo na kufanya diagnosis kwa mfumo wote ili kukamilika na kufanya kazi kwa ufasaha
Tupo katika chuo cha usafirishaji yaani NIT mkabala na kiwanda cha URAFIKI TEXTILE INDUSTRY
SIMU; 0692235221
KARIBU
Mikoani mtakuja lini (Mwanza).Kutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol
Gas fuel ina gharama nafuu kwa kulinganisha petrol na diesel, kwa kutumia gas fuel system unaweza kupunguza gharam za manunuzi ya nishati kwa 60%-70%
Gharama zetu ni nafuu na hutumia muda wa masaa 3-6 kwa kufunya installation ya mfumo na kufanya diagnosis kwa mfumo wote ili kukamilika na kufanya kazi kwa ufasaha
Tupo katika chuo cha usafirishaji yaani NIT mkabala na kiwanda cha URAFIKI TEXTILE INDUSTRY
SIMU; 0692235221
KARIBU
Wameshaiba pesa na kuwekeza kwenye biashara ya mafuta. Wakiwaachia mifumo iwe gharama nafuu mtakimbilia gesi halafu wao biashara itaharibika, lakini pia huenda miundo mbinu ya kutengeneza vituo vya kujazia gesi hawaziwezi kwa hiyo wanaona bora waweke ugumu kwenye mifumo ya gesi ya magari.Ghalam kubwa ipo kwenye vifaa kiujumla serikali wanasem vifaa vyake havina msamaa wa kodi na ndio maana bei ya vifaa ipo juu sana ila kiukwel serikali hawataki watu wengi watumie mfumo wa gesi na ndio maana ukiambiwa bei ya vifaa unawez ukaacha kabisa
pia sisi tupo chini ya chuo cha NIT na si kwamba kila kazi inayo fanywa kwa wakati mchache ni kazi ndogo hapana, tunafanya kazi kwa ushirikiano wa hali ya juu ili mteja wetu apate kuendelea na shughuli zake za kiuchumi 🙏
Mama Samia ana piga kampeni watu watumie nishati safi lakini kisera anashindwa kusema vifaa vyote vya matumizi ya gas viwe vya majumbani au kwenye magari visiwe na kodi. Mwigulu asimzidi akili Mama kuharibu kampeni yake nzuri kwa kigezo cha kupungua mapato.Ghalam kubwa ipo kwenye vifaa kiujumla serikali wanasem vifaa vyake havina msamaa wa kodi na ndio maana bei ya vifaa ipo juu sana ila kiukwel serikali hawataki watu wengi watumie mfumo wa gesi na ndio maana ukiambiwa bei ya vifaa unawez ukaacha kabisa
pia sisi tupo chini ya chuo cha NIT na si kwamba kila kazi inayo fanywa kwa wakati mchache ni kazi ndogo hapana, tunafanya kazi kwa ushirikiano wa hali ya juu ili mteja wetu apate kuendelea na shughuli zake za kiuchumi 🙏
Mbona mmekaa kimya juu ya swali hili? Mwanza mtafika lini?Mikoani mtakuja lini (Mwanza).