Wafungaji wa mfumo wa gas fuel kwenye magari ya diesel na petrol

bei za jumla yaan vifaa n ufungaji kulingan na aina ya gari
IST-2.3M
Carina-2.3M
Harrier-2.5M
Prado-3.5M
Nissan patrol-3.5M

Karibu tukuhudumie 0692235221 πŸ™
Hapa nimekusoma
 
Hii bado ipo?
 
Mikoani mtakuja lini (Mwanza).
 
Wameshaiba pesa na kuwekeza kwenye biashara ya mafuta. Wakiwaachia mifumo iwe gharama nafuu mtakimbilia gesi halafu wao biashara itaharibika, lakini pia huenda miundo mbinu ya kutengeneza vituo vya kujazia gesi hawaziwezi kwa hiyo wanaona bora waweke ugumu kwenye mifumo ya gesi ya magari.
 
Mama Samia ana piga kampeni watu watumie nishati safi lakini kisera anashindwa kusema vifaa vyote vya matumizi ya gas viwe vya majumbani au kwenye magari visiwe na kodi. Mwigulu asimzidi akili Mama kuharibu kampeni yake nzuri kwa kigezo cha kupungua mapato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…