Wafungwa wa Tanzania sasa ruksa kupiga kura

Mahakama Kuu nchini imesema kuwa wafungwa wa makosa ya kawaida ya jinai wana haki ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu.

Mahakama hiyo imetamka haki hiyo baada ya kubatilisha kifungu cha 11(1) (c) cha Sheria ya Taifa Uchaguzi kinachoweka zuio kwa wafungwa wanaotumikia adhabu ya kunyongwa na wanaotumikia adhabu ya kifungo cha kuanzia miezi sita.

Hukumu hiyo imetolewa na Jaji Elinaza Luvanda leo Desemba 22,2020 inatokana na shauri la Kikatiba lililofunguliwa na raia wawili, Tito Magoti na John Tulla ambao walikosa haki ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kutokana na kuwa mahabusu.

Magoti na Tulla walifungua shauri hilo Mahakama Kuu Masjala Kuu, mwaka huu dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na Jeshi la Magereza.

Walikuwa wakidai kuwa kifungu hicho kinakinzana na Katiba Ibara ya 5(1) ambayo inaeleza kuwa Kila raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 anayo haki ya kushiriki katika Uchaguzi Mkuu.

Hata hivyo, ingawa kifungu hicho hakiweki zuio la utekelezaji haki hiyo kwa mahabusu wanaosubiri usikilizwaji wa kesi zao, lakini Jeshi la Magereza halijaweka utaratibu unaowawezeaha mahabusu kutekeleza haki hiyo.

Ingawa wadaiwa wakati wa usikilizwaji wakipinga madai hayo, walidai kuwa NEC imekuwa ikiwawezesha raia wote kutekeleza haki hiyo kwa mujibu wa sheria, lakini Jaji Luvanda katika uamuzi wake amekubaliana na hoja za Wakili Seka kwa niaba ya wadia kuwa kifungu hicho kuweka zuio hilo kwa wafungwa wote wanaotumikia adhabu kuanzia miezi sita kinakiuka Ibara ya 5(1) ya Katiba ya Nchi.

Amesema kuwa haki ya kupiga kura ya mahabusu wenye umri wa zaidi ya miaka 18 ihifadhiwa na kulindwa na Katiba.

Pia Jaji Luvanda amesema kuwa ingawa Ibara ya 5(2), imesema kuwa Bunge linaweza kutunga sheria kuweka sharti la kuzuia raia wa Tanzania kutekeleza haki hiyo, lakini Bunge kwa kuweka sharti ya zuio kuzingatia kifungo limekwenda nje ya muktadha wa Ibara hiyo ya Katiba.

Amefafanua kuwa Bunge lingeweza kuorodhesha makosa makubwa ya jina ambayo mtu akitiwa hatiani anaondolewa haki hiyo kama vile makosa ya uhaini na mauaji ambayo adhabu yake ni kunyongwa.

"Hivyo natamka kwamba kifungu cha 11(1) (c) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura 343, Marejeo ya mwaka 2015 ni kinakinzana na Katiba na ni batili."

Chanzo: Mwananchi
Kwa wachezea katiba hawa, hata hili watalidharau. Nchi hii inatakiwa viongozi wapate hukumu ya moto kwa Mungu. Hawatekelezi viapo! Wanaichezea katiba kama kitu ambacho ni useless!
 
Ili bandiko fupi sana lenye ujumbe mfupi Kwa viongozi,wanachama,na wapenzi wa chama Cha mapinduzi.
Nina Imani mmesikia yakuwa yule kijana aliyekamatwa na kuwekwa ndani na utawala wa mwenzake, chini ya ngiriba zake za ovyo za kubambikia vijana wetu kesi kisa wanamkosoa, yaani Tito Magoti ameshinda shauri la kutaka wafungwa,Mahabusu, na wale watanzania wanao ishi nje ya nchi waanze kupiga kura,nimeskia serikali yakuwa hamtokata rufaa mmekubali kushindwa Sasa Nina wasii Wana ccm yakuwa ilo ni pigo kubwa sana kwenu.
Kati ya makundi yote tajwa hapo juu hakuna kundi litakalo ichagua ccm.
Maana Kuna kundi kubwa la vijana wetu wanafungwa Kwa kesi za ovyo sana za kubambikia na wanao wabambikoa kesi ni watendaji walio ajiliwa chini ya serikali ya ccm.
Ushauri Tito Magoti adhibitiwe
 
Tangu lini kura zikaamua uchaguzi Tanzania? Walio huru tu zao hazina thamani, itakuwa za wafungwa?

Kupiga kura Tanzania ni kupoteza muda tu. Mpaka siku tutakuwa na tume huru.
dawa ya wiz wa kura unaofanywa na wakurugenz na watendaji kata ni kupigana tu kama kenya baada ya hapo upumbavu wowote hauwez kutokea kwenye chaguz zetu na heshima itakuwepo over.
 
Kumbe bado Kuna kundi la watu wajinga ndani ya nchi hii wanaamini kwamba sanduku la kura ndo huamua viongozi nadiliki kusema tuna safari ndefu Sana ya ukombozi wa fikra

"Wenye akili timamu washa lipuuza sanduku la kura muda mrefu Sana"
 
Ili bandiko fupi sana lenye ujumbe mfupi Kwa viongozi,wanachama,na wapenzi wa chama Cha mapinduzi.
Nina Imani mmesikia yakuwa yule kijana aliyekamatwa na kuwekwa ndani na utawala wa mwenzake, chini ya ngiriba zake za ovyo za kubambikia vijana wetu kesi kisa wanamkosoa, yaani Tito Magoti ameshinda shauri la kutaka wafungwa,Mahabusu, na wale watanzania wanao ishi nje ya nchi waanze kupiga kura,nimeskia serikali yakuwa hamtokata rufaa mmekubali kushindwa Sasa Nina wasii Wana ccm yakuwa ilo ni pigo kubwa sana kwenu.
Kati ya makundi yote tajwa hapo juu hakuna kundi litakalo ichagua ccm.
Maana Kuna kundi kubwa la vijana wetu wanafungwa Kwa kesi za ovyo sana za kubambikia na wanao wabambikoa kesi ni watendaji walio ajiliwa chini ya serikali ya ccm.
Ushauri Tito Magoti adhibitiwe
Kwanza CCM ndo wanataka iwe hivyo ili mipango yao ifanyikie hukohuko magerezani, yanaletwa masanduku mnaanmbiwa kura za wafungwa hizi kumbe mzigo umetoka ofisi ya chama!
 
Ili bandiko fupi sana lenye ujumbe mfupi Kwa viongozi,wanachama,na wapenzi wa chama Cha mapinduzi.
Nina Imani mmesikia yakuwa yule kijana aliyekamatwa na kuwekwa ndani na utawala wa mwenzake, chini ya ngiriba zake za ovyo za kubambikia vijana wetu kesi kisa wanamkosoa, yaani Tito Magoti ameshinda shauri la kutaka wafungwa,Mahabusu, na wale watanzania wanao ishi nje ya nchi waanze kupiga kura,nimeskia serikali yakuwa hamtokata rufaa mmekubali kushindwa Sasa Nina wasii Wana ccm yakuwa ilo ni pigo kubwa sana kwenu.
Kati ya makundi yote tajwa hapo juu hakuna kundi litakalo ichagua ccm.
Maana Kuna kundi kubwa la vijana wetu wanafungwa Kwa kesi za ovyo sana za kubambikia na wanao wabambikoa kesi ni watendaji walio ajiliwa chini ya serikali ya ccm.
Ushauri Tito Magoti adhibitiwe
Unataka Magoti auawe ?
 
Aiseeee, Kwa maana hiyo ccm wamuue Tito ?? Kumbe ccm ina kikosi cha wasiojulikana ??? Ushauri wa hovyo sana huu
 
Ili bandiko fupi sana lenye ujumbe mfupi Kwa viongozi,wanachama,na wapenzi wa chama Cha mapinduzi.
Nina Imani mmesikia yakuwa yule kijana aliyekamatwa na kuwekwa ndani na utawala wa mwenzake, chini ya ngiriba zake za ovyo za kubambikia vijana wetu kesi kisa wanamkosoa, yaani Tito Magoti ameshinda shauri la kutaka wafungwa,Mahabusu, na wale watanzania wanao ishi nje ya nchi waanze kupiga kura,nimeskia serikali yakuwa hamtokata rufaa mmekubali kushindwa Sasa Nina wasii Wana ccm yakuwa ilo ni pigo kubwa sana kwenu.
Kati ya makundi yote tajwa hapo juu hakuna kundi litakalo ichagua ccm.
Maana Kuna kundi kubwa la vijana wetu wanafungwa Kwa kesi za ovyo sana za kubambikia na wanao wabambikoa kesi ni watendaji walio ajiliwa chini ya serikali ya ccm.
Ushauri Tito Magoti adhibitiwe
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Kwahiyo wapige kura, wasipige hakuna tofauti. Labda kama hao wafungwa wanaweza kupata nafasi ya kujiunga na wananchi ili kufanya machafuko ya kuiondoa ccm madarakani.
 
Kwa hiyo umeamua kuhamasisha mauaji? Vipi nao upande wa pili wakiamua kuhamasisha hayo mauaji?
Wewe ndo unafaa kudhibitiwa. Na ninamashaka kama wewe ni mtanzania kweli!
IMG_20221130_122816.jpg

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe bado Kuna kundi la watu wajinga ndani ya nchi hii wanaamini kwamba sanduku la kura ndo huamua viongozi nadiliki kusema tuna safari ndefu Sana ya ukombozi wa fikra

"Wenye akili timamu washa lipuuza sanduku la kura muda mrefu Sana"
Vijana wengi Akili zao zinatumika kwenye kuvuka barabara Tu
 
Back
Top Bottom