Wafungwa wa Tanzania sasa ruksa kupiga kura

Kwa wachezea katiba hawa, hata hili watalidharau. Nchi hii inatakiwa viongozi wapate hukumu ya moto kwa Mungu. Hawatekelezi viapo! Wanaichezea katiba kama kitu ambacho ni useless!
 
Ili bandiko fupi sana lenye ujumbe mfupi Kwa viongozi,wanachama,na wapenzi wa chama Cha mapinduzi.
Nina Imani mmesikia yakuwa yule kijana aliyekamatwa na kuwekwa ndani na utawala wa mwenzake, chini ya ngiriba zake za ovyo za kubambikia vijana wetu kesi kisa wanamkosoa, yaani Tito Magoti ameshinda shauri la kutaka wafungwa,Mahabusu, na wale watanzania wanao ishi nje ya nchi waanze kupiga kura,nimeskia serikali yakuwa hamtokata rufaa mmekubali kushindwa Sasa Nina wasii Wana ccm yakuwa ilo ni pigo kubwa sana kwenu.
Kati ya makundi yote tajwa hapo juu hakuna kundi litakalo ichagua ccm.
Maana Kuna kundi kubwa la vijana wetu wanafungwa Kwa kesi za ovyo sana za kubambikia na wanao wabambikoa kesi ni watendaji walio ajiliwa chini ya serikali ya ccm.
Ushauri Tito Magoti adhibitiwe
 
Tangu lini kura zikaamua uchaguzi Tanzania? Walio huru tu zao hazina thamani, itakuwa za wafungwa?

Kupiga kura Tanzania ni kupoteza muda tu. Mpaka siku tutakuwa na tume huru.
dawa ya wiz wa kura unaofanywa na wakurugenz na watendaji kata ni kupigana tu kama kenya baada ya hapo upumbavu wowote hauwez kutokea kwenye chaguz zetu na heshima itakuwepo over.
 
Kumbe bado Kuna kundi la watu wajinga ndani ya nchi hii wanaamini kwamba sanduku la kura ndo huamua viongozi nadiliki kusema tuna safari ndefu Sana ya ukombozi wa fikra

"Wenye akili timamu washa lipuuza sanduku la kura muda mrefu Sana"
 
Kwanza CCM ndo wanataka iwe hivyo ili mipango yao ifanyikie hukohuko magerezani, yanaletwa masanduku mnaanmbiwa kura za wafungwa hizi kumbe mzigo umetoka ofisi ya chama!
 
Unataka Magoti auawe ?
 
Aiseeee, Kwa maana hiyo ccm wamuue Tito ?? Kumbe ccm ina kikosi cha wasiojulikana ??? Ushauri wa hovyo sana huu
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Kwahiyo wapige kura, wasipige hakuna tofauti. Labda kama hao wafungwa wanaweza kupata nafasi ya kujiunga na wananchi ili kufanya machafuko ya kuiondoa ccm madarakani.
 
Kwa hiyo umeamua kuhamasisha mauaji? Vipi nao upande wa pili wakiamua kuhamasisha hayo mauaji?
Wewe ndo unafaa kudhibitiwa. Na ninamashaka kama wewe ni mtanzania kweli!

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe bado Kuna kundi la watu wajinga ndani ya nchi hii wanaamini kwamba sanduku la kura ndo huamua viongozi nadiliki kusema tuna safari ndefu Sana ya ukombozi wa fikra

"Wenye akili timamu washa lipuuza sanduku la kura muda mrefu Sana"
Vijana wengi Akili zao zinatumika kwenye kuvuka barabara Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…