Wafungwa wanaachiwaje jela? Na wakitoka wanaendaje uraiani?

Magereza ya watoto ipo pale Upanga,
Akishafikisha miaka 18 anahamishiwa magereza ya wakubwa.... Wanasoma ndio na kufanya kazi zingine ndogo ndogo kama sheria inavyoruhusu kwa watoto.
 
Period hata mama ako aliingia ndio maana ukazalika, watu mna stress sana sijui ndio ushoga mnatafuta attentions za mabasha [emoji848]
Kwa mila za kwetu haifai mimi nibishane na wewe wakati upo najisi leo
 
Imawezekana uangalizi wa karibu ni ukiwa na baby ila sio ukiwa na nyapara.
 
hahaha. Ukiingia kituo cha polisi na viatu vizuri, mkanda mzuri, wallet na hela hivyo ni mali ya askari. Pale unaandikishwa ushahidi tu. Mpaka ufike gerezani utabaki na jezi ya karoti tu.
 
Nakumbuka miaka ya nyuma 90's mjomba angu alitoka gerezani akiwa na baiskeli mpya na mke juu....

Hii kitu ilituchanganya sana kama familia kwani alirudi amenawili kuliko tuliokua uraiani, nilipokaa nae na kuhojiana nae vizuri aliniambia mazingira ya gereza lao ilikua simple kwa mfungwa kupiga deals tena ikitokea askari wamekuamini.

Siku mzee anayoenda kumpokea pale gerezani ndipo uncle akamuambia mzee wangu kama anamchumba kijiji cha jirani yaan kuvuka mto uliopakana na gereza, jina la mto ni ruiche ( kijiji na geraza x).
 
Aisee mimi najua kuwa nauli unapewa sasa sitaki kusema kuwa wanaangalia sura au lah .

By the way nimetoka jela mwaka huu nilikuwa gereza la mkoani kwangu kabisa ila niliandika mkoa nilipokuwa kuwa nafanyia kazi kutokana na kuwa kilichonipeleka lupango ni mambo ya kazi basi nikaandika kuwa ndiyo kwetu pia .

Siku ya kutoka niliijua mapema kutokana na kifungo changu , ukweli ni kuwa nilikuwa na nauli kwenye kalaini kangu ila afande Maseba alinipa elfu hamsini na tano akisema itakufikisha kwako .

Sikujua ni utaratibu au ni hisani yake , ila namba yake pia alinipa kuwa wewe ni ndugu yangu kwa lolote tuwasiliane hata kujuliana hali .

Yale maneno yake yaliniumiza sana hasa nikiangalia hakuna hata ndugu mmoja aliyeleta pua kujua kuwa mwamba niko huru ilihali walijua kuwa natoka siku fulani alafu mtu baki ananijali vile .

Nilijikuta chozi la huzuni linanidondoka mbele ya afande maseba , na askari wengine akina afande Abdul na afande Kiyoko .

Wao waliendelea na utani wakati geti linafunguliwa mimi na wenzangu tunatoka nje .

Jela kubaya ila kuzuri pia kuna moment fulani zinafurahisha sana .

Anyway niko free niko nje na kazini nimerudi .

Oyaa wewe kula kwa urefu wa kamba yako angalia na unaokula nao .[emoji110]
 
Jela kiasili ni sehemu ya kurekebisha tabia na kwa asilimia 90 kuondolewa uburu wako
Kwa nchi zenye kutambua nini maana ya mfungwa huwapa karibia kila kitu isipokuwa uhuru
Elimu
Ufundi
Kilimo
Shughuli za ubunifu nknk
Kuna wafungwa wametoka jela wakiwa wako vizuri kwenye mambo ya maisha.. South Africa ilikuwa mfungwa akijifunza kitu akiwa gerezani na kufanya uzalishaji kupitia fani aliyojifunza siku akitoka anapewa pesa, vifaa vya kazi nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutengwa ni ngumu kwa magereza zetu hizi tena watu walivyovurugwa huko hakuna mtu anajali,

Kuna wengine wanaingia wazima, wanapatia mimba humo humo ndani, jiulize how [emoji28]
Njia ya kuingiza mimba ni moja tuu, wafungwa wana nyege pia hata Askari anaweza kusaidia.
 
Nisije nikawazungumza wakanirudisha ndani... maana hawachelewi hao

Kuna Mbwa anajiita "Pakijinja" ndo alinipa ban yule paka shume yule 🤔
Moderator amekupatia nauli au kakuachia tu...
 
Hahaha
 
Afande Abdul Lwanda prison... Ushaondoka carnival?
 
Baada ya kifo,yanafuatia magonjwa,then jela.Hapa duniani,hivyo vitu vinatisha sana.
 
Pale unapokamatiwa ndo utapewa Nauli itayokurudisha.

Mfano umekamatiwa Dsm ila kesi yako ikafanya ukae gereza la kisongo Arusha ile siku unamaliza kifungo utapewa Nauli ya kukurudisha dsm.

Then jamii imebadilika Sana tuweni makini na ugomvi ,Hasira Kuna watu wengi wako jela kwa kesi za mauaji kisa tu walipiga wezi ,wengine walipiga wake zao wakafa n.k


So tuweni makini Sana pia Hawa watoto wa 2000s usipokuwa Makin yaani play safe and keep God first.
 
I feel it bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…