Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Magereza ya watoto ipo pale Upanga,Dada Dream Queen vipi magereza ya watoto yapo hapa kwetu kweli ? Je madogo wakifungwa vipi kuhusu kuendeleza ndoto zao labda kwa wanaosoma shule huwa wanaendelezwa ? Mfano dogo anafungwa akiwa std six ? Labda alifungwa ana miaka 14 akifikisha umri wa utu uzima utaratibu wake ukoje ?
Akishafikisha miaka 18 anahamishiwa magereza ya wakubwa.... Wanasoma ndio na kufanya kazi zingine ndogo ndogo kama sheria inavyoruhusu kwa watoto.