Waga tunasema waarabu ni watu wabaya sana na tena wanafiki wakubwa wanaotumia dini kama kichaka cha kujifichia.

Kiswahili hujui,akili huna, umejaza chuki tu kwenye fuvu dhidi ya waarabu, biashara ya utumwa unaijua?..kawaulize watu weusi marekani kuhusu utumwa, kawaulize wavietnam kuhusu ukatili wa marekani,gereza la abu ghraib iraq unalijua!?.. Nagasaki na hiroshima ulishasikia,ulishawahi ona rost la nyama ya binadam?.. ulishasikia kuhusu makasisi wakilawiti watoto kanisani!?
 
You're out of step with the subject in question and I think you're far from your senses.
 
You're out of step with the subject in question and I think you're far from your senses.
Umeandika kiingereza Ili nikuone wa maana,hovyo tu,lengo lako ilikua kuonesha waarabu katili,rejea nikizokupa zimeonesha kinyume chake,miungu wako katili na ovu zaidi
 
Pamoja na hayo 99.9% ya magaidi wote duniani ni timu kobazi.
 
Nchi ya ufilipino iliwahi pitisha sheria ikiwakataza raia wake kwenda kufanya kazi baadhi ya nchi za uarabuni.
 
Acha akili za kitumwa wewe,kwani wakitajwa waarabu wewe inakuuma nini? Kwanini usiwaulize waswahili wenzio wa mikoa ya kigoma na tabora ambao walichukuliwa utumwa na waarabu uku wakifugwa minyororo na kuchapwa mijeredi na hao unao waabudu waarabu mabwana zako.
 
Hakuna mti aliyechukuliwa utumwani tabora,na najua kuwa kuwashutumu kwenu waarabu hamuchukii waarabu kama waarabu bali imani yake,laiti mwarabu angekua wa imani kama wazungu walionunua mamilioni ya watumwa,msingewachukia waarabu,so mimi hapa nakomesha tu unafiki
 
We unachekesha kweli,mahaba kwa waarabu yamekupofusha macho, eti waarabu hawaku usika na utumwa??????
 
We unachekesha kweli,mahaba kwa waarabu yamekupofusha macho, eti waarabu hawaku usika na utumwa??????
Wapi nimesema waarabu hawakuhusika na utumwa!?.. tatizo akili zenu huwa ndogo,hata kuelewa kilichoandikwa shida
 
Hii tabia kwanini jamani , Yani tabia ya mtu ndo iwakilishe kikundi Fulani chote , mara utasikia wasukuma washamba mara wakinga wachawi mara padre alawiti waseme wakristo ni walawiti au shehe abake waseme waislam wabakaji. Tabia au makosa ya mtu ni yake mwenyewe Wala sio kikundi au jamii anayowakilisha
 
Wapi nimesema waarabu hawakuhusika na utumwa!?.. tatizo akili zenu huwa ndogo,hata kuelewa kilichoandikwa shida
We ndio akili yako ndogo, nani awaonee wivu wazee wa kujilipua mabomu na kuuwa watu kisa wapo tofauti kiimani, ndio maana mimi nakuona ni kituko tu mtu mweusi tii kujipendekeza kwa waarabu wanao kuchukulia wewe kama mtumwa tu mbele yao kaangalie Libya weusi wenzio wanavyofanywa
 
Mkuu kwanini hatufikitii kuhusu bara la Zima la afrika kutawaliwa na wazungu tu Tena Hadi baadhi ya nchi za kiarabu zilizokuwepo afrika zilitawaliwa na wazungu.
Machafuko yote yaliotokea afrika na yanayotokea yanasababishwa na wazungu au ni muarabu ndiyo anae sababisha?.
Au Kuna kiongozi wako yoyote wa afrika alieutafuta uhuru kutoka Kwa muarabu?.
Unajua ni viongozi wangapi wa afrika walikuwa wanatafuta uhuru wa nchi zao wameuawa na wazungu Tena waikristo?.
Unaweza ntajia nchi ya afrika au nchi yoyote duniani ambayo ilitawaliwa na muarabu?.
Kiufupi inatubidi tuheshimiane na Kila mtu ajue mipaka yake TU.
Sisi waafrika tufanye ya kwetu na wao wafanye ya kwao maisha yaende mbele
 
Marekani weusi wanafanywaje?
 
Hata nikikue elewesha huta elewa kwa sababu umesha kuwa mtumwa wa kifikra na kiimani, maana wewe mwarabu kwako ndio mtu na sio wengine hata wewe pia usha jishusha,utaeleweshwa utaelewa wewe!!!???
Black lives matter movement ni kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…