Waganda kuunda ndege yao wenyewe

Waganda kuunda ndege yao wenyewe

geomos

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
625
Reaction score
175
1429810392872.jpg
1429810427108.jpg
1429810449039.jpg
1429810465958.jpg
Baada ya waganda kuunda gari zao miundo miwili, aina ya Kiira EV, sasa wanasayansi hao wamepania kutengeneza ndege yao ya kwanza. Hongereni waganda, ninyi ni weusi kweli kweli na mmeonyesha wazi kuwa weusi hawana akili chini ya wazungu
 
Wenzetu wanainua vipaji, hapa kwetu tuna vipaji vingi tu isipokuwa vinauliwa na serikali kwa mfano mtu anatengeneza gobole au helicopter ya mota lakini anakamatwa anawekwa ndani badala ya kumchukua aende jeshini akaendeleze hiyo fani yake.

POOR TANZANIA
 
kuuunda ndege?? au kuunganisha vipuri baada ya kutengenezwa ulaya na marekani!!! nataka watu waje na kitu kipya ambacho hakipo hapa duniani, sio zile habari za magari ya nyumbu eti yana tengenezwa tz.
 
Haijalishi mkuu!!! Hata kama ni ku assemble tu bado ni hatua watakua wamepiga... EMBU JIULIZE SISI HAPA BONGO TUMESHAWAHI KUA NA MAWAZO HAYO??? Kwenye pongez tuwape...wanastahili..wivu hauna maana!!
 
kuuunda ndege?? au kuunganisha vipuri baada ya kutengenezwa ulaya na marekani!!! nataka watu waje na kitu kipya ambacho hakipo hapa duniani, sio zile habari za magari ya nyumbu eti yana tengenezwa tz.
Hata hao wanaotengeneza ndege vifaa vingi tu wanategemeana.
 
Hizi gari mwezi wa 3 zilioneshwa BBC Swahili, kweli ni magari mazr sana kuliko hata hayo ya Japan (japo sina uhakika na ubora including stability,
speed, durability, nk).

Tena si kampuni flani bali ni Maprofesa wa Makerere Univ na wanafunzi wao kwa kushirikiana na Kampuni moja ya Japan ( sina uhakika kama ni Toyota).
Kweli ni hatua nzr sana.

Hawa wakwetu akina NYUMBU kila kukicha matangazo ya ajira utumishi! Gari barabarani hamna, sijui wanatengeneza nn?

Kwetu watu wanatunga ni namna gani tutaiba kesho billion 900 za msd, TPA mkutano billion, TRL behewa feki, ATCL kukodi ndege kwa gharama feki, IPTL/ ESCROW hadi Ikulu!!
 
Enzi za ujana wangu niliishi Kinondoni Dar karibu na Black Power Bar,siku moja askari polisi na bunduki waliizingira nyumba tuliyopanga nikauliza kulikoni?nikambiwa kuna matangazo ya radio wamegundua yanatokea hapo kumbe ni kakijana kaliunganisha maringi ya baiskeli akaweka juu ya bati sijui na vitu gani tukawa tunampata ktk radio zetu. Amini usiamini yule kijana waliondoka naye sijui mwisho wake ilikuwaje!
 
God Bless Uganda and Don't Forget Tanzania
 
Wenzetu wanainua vipaji, hapa kwetu tuna vipaji vingi tu isipokuwa vinauliwa na serikali kwa mfano mtu anatengeneza gobole au helicopter ya mota lakini anakamatwa anawekwa ndani badala ya kumchukua aende jeshini akaendeleze hiyo fani yake.

POOR TANZANIA

Hamia kwao ukapande ndege yao kwa majaribio
 
,tz sisi tunawaza tu kuajiliwa to na mwisho wa mwezi ukinge mkono wengi wetu,,, hata dumu za plastic hatuwezi mpaka tuagize nje
 
Enzi za ujana wangu niliishi Kinondoni Dar karibu na Black Power Bar,siku moja askari polisi na bunduki waliizingira nyumba tuliyopanga nikauliza kulikoni?nikambiwa kuna matangazo ya radio wamegundua yanatokea hapo kumbe ni kakijana kaliunganisha maringi ya baiskeli akaweka juu ya bati sijui na vitu gani tukawa tunampata ktk radio zetu. Amini usiamini yule kijana waliondoka naye sijui mwisho wake ilikuwaje!
Uko serious lakini. Yaani badala ya kuboresha upaji wake, na kuienzi, wantishwa nayo??? How sad
 
Congrats Ugandans, hili baada ya gari la Kiira. Vyema sana. Dhihirisho wazi kwamba wabunifu wamo, na watakuwa tegemeo la uchumi ya viwanda.
 
Back
Top Bottom