Waganda watoa sababu zao kwanini watakomaa na SGR ya Kenya na sio ya Tanzania

UGANDA, EVEN IF IT WAS TO USE TANZANIA SGR, WOULDN'T NEED TO CLEAR ANY LAND TOWARDS TANZANIA. wE HAVE A MARITIME BORDER WITH THEM. SO YOU WANTED THEM TO CLEAR LAKE VICTORIA?
Plus, Tanzania isn't building its SGR to be used by Ugandan Cargo. The Mwanza Railway is needed by Lake Zone businessmen and other Tanzanians too. So, it's feasible af!!
Point..
 
Uzi umekaa kiunafki nafki huo , yaani hakuna hata Zuri kutoka Tanzania duuuu
 
Well MK254

Naona imejitahidi kweli kweli! Nami niseme kidogo!

Niungane na wenzangu kukukumbusha kuwa sgr yetu kwa kuanzia hatupangi kuteka soko la Uganda! Na kupeleka Reli kanda ya ziwa plani sio waganda, japo wakija kuitumia itaendelea kutufaidisha zaidi maana insecurity ya hapo kwenu nayo haiaminiki!

Kwetu soko letu la ndani la kanda ya ziwa ni muhimu sana! Imagine tuna Mikoa sita na wilaya zaidi ya 40 kwa kanda ya ziwa pekee! Ukubwa huu tu unakaribia kulingana na nchi nzima ya Uganda, Hivyo mizigo ya kwenda uganda ni sawa na mizigo inayoenda kanda ya ziwa!

Lakini pia Tanzania tunapakana na nchi nyingi ambazo ni land locked, sio lazima kuzichukua zote, Zambia tunapeleka mafuta na mizigo kwa ile reli ya zamani, burundi rwanda na DRC hizo ni zetu!

Ila this is business, kosa moja tu and ur market id gone!

Hehehe!! Naona mumepambana kupindisha uzi uonekane kama tunajadili mipango ya reli ya Tanzania na kwamba hamkua na Uganda ndani ya mikakati yenu, ndio yale ya sizitaki mbichi.

Nakubaliana na hilo la kwamba Tanzania ni nchi kubwa, na pia ufahamu huo ukubwa wa nchi yenu ni mtaji wetu pia. Maana ukanda wa ziwa na pia Arusha na Kilimanjaro lazima tutakula na nyie kwenye sahani moja. Watategemea pakubwa SGR yetu maana wale ni wafanya biashara na kama kawaida mahesabu ya kibisahara hayana muda na mambo ya kizalendo.

Reli yenu ya SGR inafuata mkondo wa hii ya sasa ya Mjerumani ambayo imekomaa sana na Tanzania kati, ukiifuata kuanzia Dodoma inaelekea Tabora yaani hadi huko ndio inaanza kutafuta Mwanza kupitia Isaka. Wakati huo huo watu wa Mwanza sisi tunawapa SGR hapo Kisumu, mizigo yao inafika ndani ya masaa kumi ikitokea bandari kubwa na bora ukanda huu ya Mombasa.

Reli yenu ya Mjerumani imeishia Tanga, maana mlitelekeza safu ya Arusha na Kilimanjaro, hazipo kazini, hivyo pia na ukanda huo tunawatafuta ili tule na nyie sahani moja. Ukizingatia Kilimanjaro, Arusha na Mwanza ndio mikoa inayowabeba kiuchumi.
 
Unajua sio kila wakati tubishane kwa kila kitu, ni lazima tuangalie initial plan!

Mpango wetu wa kupeleka reli kanda mwanza ilikuwa soko la ndani! Tungelenga uganda basi hiyo reli tungepeleka Mtukula moja kwa moja ili waganda waanzie hapo!
 
Hehehe!! Naona mumepambana kupindisha uzi uonekane kama tunajadili mipango ya reli ya Tanzania na kwamba hamkua na Uganda ndani ya mikakati yenu, ndio yale ya sizitaki mbichi.

Nakubaliana na hilo la kwamba Tanzania ni nchi kubwa, na pia ufahamu huo ukubwa wa nchi yenu ni mtaji wetu pia. Maana ukanda wa ziwa na pia Arusha na Kilimanjaro lazima tutakula na nyie kwenye sahani moja. Watategemea pakubwa SGR yetu maana wale ni wafanya biashara na kama kawaida mahesabu ya kibisahara hayana muda na mambo ya kizalendo.

Reli yenu ya SGR inafuata mkondo wa hii ya sasa ya Mjerumani ambayo imekomaa sana na Tanzania kati, ukiifuata kuanzia Dodoma inaelekea Tabora yaani hadi huko ndio inaanza kutafuta Mwanza kupitia Isaka. Wakati huo huo watu wa Mwanza sisi tunawapa SGR hapo Kisumu, mizigo yao inafika ndani ya masaa kumi ikitokea bandari kubwa na bora ukanda huu ya Mombasa.

Reli yenu ya Mjerumani imeishia Tanga, maana mlitelekeza safu ya Arusha na Kilimanjaro, hazipo kazini, hivyo pia na ukanda huo tunawatafuta ili tule na nyie sahani moja. Ukizingatia Kilimanjaro, Arusha na Mwanza ndio mikoa inayowabeba kiuchumi.
Labda ujibu tu swali hili ... unadhani Tanzania ina-export more to Kenya au ina-import more to Kenya?
Wewe kwa kutumia data (most recent) unaweza kutupa trend of balance of trade between these two countries? All your roads, railways and ports are more beneficial to Tanzania than even your own country in terms of trade.
We creepin' up on ya son!
You need to check yourself really good!
 
Mada nyingine mbovu kweli. Biashara haipo constant, watu wanafuata ubora na unafuu (faida) wa biashara husika. Mataifa huingia mikataba ya ushirikiano lakini baadae hukosana na kila kitu kinaharibika. Sio Tz wala Kenya atakaetoa huduma nzuri kwa Uganda ndio atafanya biashara.
Tz wanapakana na
Kenya
Uganda
Rwanda
Burundi
DRC
Zambia
Malawi
Msumbiji

Kenya inapakana na
Tz
Uganda
S. Sudan
Somalia
Eritrea (kama sijakosea)

Hapo kwa haraka utaona Tz anafaida ya kufanya biashara na jirani zake ukilinganisha na Kenya kimsingi tu ni Tz kujipanga vema. Pia kwa soko la ndani Tz population ni kubwa as compared to Kenya.

Pia Kenya ijitahidi isifanye furugu tena kwenye uchaguzi ujao wataharibu zaidi
 
Huwa tumejipanga ndio maana tunagawana na nyie soko la Burundi, DRC na Rwanda japo hatupo nao kwenye mpaka. SGR ndio itarasimisha uwepo wetu ukanda wote huu.
 
Back
Top Bottom