waganga wa jadi huzikwa kwa kukarishwa

waganga wa jadi huzikwa kwa kukarishwa

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Mganga wa tiba asilia wanataratibu zao za kuzikwa ikitokea amefariki dunia
● kaburi huchimbwa kama kisima namaanisha in circle form.
● huzikwa akiwa amekarishwa kwenye kiti chake cha uganga (Kigoda)
● It means kwamba jeneza lake litawekwa kwa kusimamishwa kama kabati
● kama alikuwa anamiliki ng'ombe basi kinyesi kibichi cha ng'ombe huweka kaburini.
● Mganga mwingine haruhusiwi kusogea au kumzika mwenzie akihofia kupoteza nguvu zake
● kama mganga alikuwa na mtoto bali mizimu ataichukua na kuendeleza kazi
 
Waganga wengi wakifa huenda straight kuzimu na kuishi maisha ya utumwa mkubwa huko hadi Bwana Mkubwa (Mungu Mwenyezi) atakapoamua wafe rasmi!
 
Usikariri ,inategemea.

Wapo wanaozikwa kijadi pia wapo wanaozikwa kulingana na imani zao za kidini.
 
Mganga wa tiba asilia wanataratibu zao za kuzikwa ikitokea amefariki dunia
● kaburi huchimbwa kama kisima namaanisha in circle form.
● huzikwa akiwa amekarishwa kwenye kiti chake cha uganga (Kigoda)
● It means kwamba jeneza lake litawekwa kwa kusimamishwa kama kabati
● kama alikuwa anamiliki ng'ombe basi kinyesi kibichi cha ng'ombe huweka kaburini.
● Mganga mwingine haruhusiwi kusogea au kumzika mwenzie akihofia kupoteza nguvu zake
● kama mganga alikuwa na mtoto bali mizimu ataichukua na kuendeleza kazi
Navyojua machifu ndio walikuwa wanazikwa hivyo
 
Kama sio Wasukuma au Wanyamwezi hawa sijui...

Mganga wa tiba asilia wanataratibu zao za kuzikwa ikitokea amefariki dunia
● kaburi huchimbwa kama kisima namaanisha in circle form.
● huzikwa akiwa amekarishwa kwenye kiti chake cha uganga (Kigoda)
● It means kwamba jeneza lake litawekwa kwa kusimamishwa kama kabati
● kama alikuwa anamiliki ng'ombe basi kinyesi kibichi cha ng'ombe huweka kaburini.
● Mganga mwingine haruhusiwi kusogea au kumzika mwenzie akihofia kupoteza nguvu zake
● kama mganga alikuwa na mtoto bali mizimu ataichukua na kuendeleza kazi
 
Waganga wengi wakifa huenda straight kuzimu na kuishi maisha ya utumwa mkubwa huko hadi Bwana Mkubwa (Mungu Mwenyezi) atakapoamua wafe rasmi!
Acha kuwaponda mkuu kwenye mishe zako wanamchango fulani uliza wazazi wako
 
Back
Top Bottom