Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Nasikia mwamba nae alizikwa amekaa
100%>Hakuna chifu asiye mchawi.
Kaka mchawi umekua engineer siku Iz🤔😂😂🏃🏽♂️Na sisi waganga wa uongo ni lazima tuzikwe hivyo au tunaweza kukataa tukiwa hai?
Kwamba wakifa hapa Bado hawajafa?Waganga wengi wakifa huenda straight kuzimu na kuishi maisha ya utumwa mkubwa huko hadi Bwana Mkubwa (Mungu Mwenyezi) atakapoamua wafe rasmi!
Uwongo huoooo huo ni uwongo bhana😂😂Waganga wengi wakifa huenda straight kuzimu na kuishi maisha ya utumwa mkubwa huko hadi Bwana Mkubwa (Mungu Mwenyezi atakapoamua wafe rasmi!
Tena ya katan mkuu 😂😂Chai
Nimewahi kusikia hivyo ila si kila mganga huzikwa kwa kukalishwa, hutegemea na rank ya mganga.Mganga wa tiba asilia wanataratibu zao za kuzikwa ikitokea amefariki dunia
● kaburi huchimbwa kama kisima namaanisha in circle form.
● huzikwa akiwa amekarishwa kwenye kiti chake cha uganga (Kigoda)
● It means kwamba jeneza lake litawekwa kwa kusimamishwa kama kabati
● kama alikuwa anamiliki ng'ombe basi kinyesi kibichi cha ng'ombe huweka kaburini.
● Mganga mwingine haruhusiwi kusogea au kumzika mwenzie akihofia kupoteza nguvu zake
● kama mganga alikuwa na mtoto bali mizimu ataichukua na kuendeleza kazi
Wameniogopesha kaka hii ya kuzikwa umekaa itanitoa huku kwenye kada aiseeKaka mchawi umekua engineer siku Iz🤔😂😂🏃🏽♂️
Kada nzito hii😂😂Wameniogopesha kaka hii ya kuzikwa umekaa itanitoa huku kwenye kada aisee
Eti Jiwe alizikwa kwa kukalishwa, kuna ukweli?.Huku ni lake zone Nina uhakika
Huwezi amini.Uwongo huoooo huo ni uwongo bhana😂😂
sijajua mkuu,Eti Jiwe alizikwa kwa kukalishwa, kuna ukweli?.
We uliskia wapi🤷🏽♂️😂😂😂Huwezi amini.