Waganga wengi wakifa huenda straight kuzimu na kuishi maisha ya utumwa mkubwa huko hadi Bwana Mkubwa (Mungu Mwenyezi) atakapoamua wafe rasmi!Mganga wa tiba asilia wanataratibu zao za kuzikwa ikitokea amefariki dunia
● kaburi huchimbwa kama kisima namaanisha in circle form.
● huzikwa akiwa amekarishwa kwenye kiti chake cha uganga (Kigoda)
● It means kwamba jeneza lake litawekwa kwa kusimamishwa kama kabati
● kama alikuwa anamiliki ng'ombe basi kinyesi kibichi cha ng'ombe huweka kaburini.
● Mganga mwingine haruhusiwi kusogea au kumzika mwenzie akihofia kupoteza nguvu zake
● kama mganga alikuwa na mtoto bali mizimu ataichukua na kuendeleza kazi
Usikariri ,inategemea.Mganga wa tiba asilia wanataratibu zao za kuzikwa ikitokea amefariki dunia
● kaburi huchimbwa kama kisima namaanisha in circle form.
● huzikwa akiwa amekarishwa kwenye kiti chake cha uganga (Kigoda)
● It means kwamba jeneza lake litawekwa kwa kusimamishwa kama kabati
● kama alikuwa anamiliki ng'ombe basi kinyesi kibichi cha ng'ombe huweka kaburini.
● Mganga mwingine haruhusiwi kusogea au kumzika mwenzie akihofia kupoteza nguvu zake
● kama mganga alikuwa na mtoto bali mizimu ataichukua na kuendeleza kazi
ChaiWaganga wengi wakifa huenda straight kuzimu na kuishi maisha ya utumwa mkubwa huko hadi Bwana Mkubwa (Mungu Mwenyezi) atakapoamua wafe rasmi!
Chai Jaba.Chai
Navyojua machifu ndio walikuwa wanazikwa hivyoMganga wa tiba asilia wanataratibu zao za kuzikwa ikitokea amefariki dunia
● kaburi huchimbwa kama kisima namaanisha in circle form.
● huzikwa akiwa amekarishwa kwenye kiti chake cha uganga (Kigoda)
● It means kwamba jeneza lake litawekwa kwa kusimamishwa kama kabati
● kama alikuwa anamiliki ng'ombe basi kinyesi kibichi cha ng'ombe huweka kaburini.
● Mganga mwingine haruhusiwi kusogea au kumzika mwenzie akihofia kupoteza nguvu zake
● kama mganga alikuwa na mtoto bali mizimu ataichukua na kuendeleza kazi
Mganga wa tiba asilia wanataratibu zao za kuzikwa ikitokea amefariki dunia
● kaburi huchimbwa kama kisima namaanisha in circle form.
● huzikwa akiwa amekarishwa kwenye kiti chake cha uganga (Kigoda)
● It means kwamba jeneza lake litawekwa kwa kusimamishwa kama kabati
● kama alikuwa anamiliki ng'ombe basi kinyesi kibichi cha ng'ombe huweka kaburini.
● Mganga mwingine haruhusiwi kusogea au kumzika mwenzie akihofia kupoteza nguvu zake
● kama mganga alikuwa na mtoto bali mizimu ataichukua na kuendeleza kazi
Huyu dogo hajui lolote anajiropokea tuNavyojua machifu ndio walikuwa wanazikwa hivyo
Hakuna chifu asiye mchawi.Navyojua machifu ndio walikuwa wanazikwa hivyo
Wewe ndio mrithi wake?Bibi yangu alikuwa mganga wa jadi na alizikwa hivyo, ujuaji mwingi kichwani zero